Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
*BREAKING NEWS:*
WACHEZAJI 3 GREEN WORRIERS HAWANA LESENI.
Imefahamika kuwa wachezaji watatu (3) miongon mwa wale walioshiriki katika mchezo dhidi ya Simba katika kuwania hatua inayofuata ya michuano ya kombe la FA maarufu kama AZAM FEDERATION CUP, hawana leseni za udereva. _*Nilijua wewe utaisoma habari hii kwa umakini mkubwa hadi mwisho ukidhani ni leseni za wachezaji*
PAMBANA NA HALI YAKO, HAKUNA POINT ZA MEZANI HAPA.[emoji13][emoji13][emoji13]