Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ewaaaa unajua mpira wewe unajua sana 😂😂 ndio huyo mara ya mwisho kaifunga simbaNdo yule anayefunga (ga) hatrick mara kwa mara si ndiooo😂
Ewaaaa unajua mpira wewe unajua sana 😂😂 ndio huyo mara ya mwisho kaifunga simbaNdo yule anayefunga (ga) hatrick mara kwa mara si ndiooo😂
Vizuri sana😄Ewaaaa unajua mpira wewe unajua sana 😂😂 ndio huyo mara ya mwisho kaifunga simba
hapa tunaongelea mchezo wa mpira wa miguu mkuuMchezo wa kuigiza
Aah kumbe basi samahani brazahapa tunaongelea mchezo wa mpira wa miguu mkuu
kwan hao uliwataja si ndo wanacheza mchezo pendwa, halafu unasema waigizaji.Aah kumbe basi samahani braza
Bastian SchweinsteigerArjen Roben