Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #181
Hivi yuko wapi
Sijajua mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi yuko wapi
Hapo ukimkuta Ufunguo na Swaiba wake Sekello Barnabas ni mwendo wa Ganja tu ni kama vile kwa sasa Umemkuta Chujji na Swaiba ake Boban kolabo yao.
Basi na Deo KiduduyeItutu Kigi(Simba?)
Chichochi Lemba(Yanga+Majimaji?)
Nje ya mada:Bujaga Izengo Kadago
Henry Moris.Huyo ni Harry Morris, kaka yake alikua anaitwa Oswald Morris. Oswald alichezea tz prisons kwa mafanikio mpaka akapewa cheo cha captain na jeshi la magereza, japo Simba na Yanga walimtaka sana lakini aliwagomea. Harry yeye alipohama basi na nyota yake ikafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenifurahisha.
Nilikuwa namkubali Sana ,Kuna kipindi ilitangazwa mwanaye alikufa kwenye mafuriko Mwanza.Umenifurahisha.
Alikuwa jamaa yangu sana huyu: alikuwa mwandishi wa habari....(R.I.P)
Inasikitisha hiyo ya mwanae kufariki.Baba yake alitangulia imeshakuwa kitambo sasa.Alikuwa jamaa poa sana (R.I.P)Nilikuwa namkubali Sana ,Kuna kipindi ilitangazwa mwanaye alikufa kwenye mafuriko Mwanza.
Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
Mtoto alitangulia mkuu,kuna mafuriko ya kwanza ya Mwanza.Inasikitisha hiyo ya mwanae kufariki.Baba yake alitangulia imeshakuwa kitambo sasa.Alikuwa jamaa poa sana (R.I.P)
Hawa wengine wamevuma uzeeni ndomana walipotea mapemaNamwenzake Mwagane Yeya