Kommando muuza madafu
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 3,216
- 7,254
Hivi Edward Kayoza alipotelea wapi?Alitikisa sana singida united…walikuwa na kina jacob kasanza,Edward Kayoza,Kabeya,na wengine wengi…
Mbona naye alicheza muda mrefu sana huyo mate wangu wa Ifakara Sekondari miaka ya 1990's?Henry Moris
Umeelewa somi?!shabani kisiga
Wilfred KidaoPale Mtibwa Sugar, kuna nahodha kiongozi Shaban Nditi. Amecheza soka la kiwango cha juu kwa muda mrefu bila kuchuja. Amedumu sana kwenye soka la ushindani hapa Bongo.
Ukifika kwenye kikosi cha Kagera Sugar wanankurukumbi, utakutana na George Kavila Master. Ni karibia miaka 20 sasa anacheza ligi kuu ya Tanzania. Ni moja kati ya wachezaji wakongwe na wenye nidhamu ya hali ya juu ndani na nje ya uwanja.
Lakini habari ni tofauti kwa baadhi ya wachezaji wengine. Kuna wachezaji wa kibongo waliovuma kwa muda mfupi kisha wakapotea kabisa katika ramani ya soka.
Leo, tujikumbushe list ya wachezaji hao.
Mimi naanza na hawa wafuatao...
Rashid Gumbo
Said Bahanuzi
Jerry Tegete
Endelea na wewe...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaikimba na Mored walivuma muda wa kutosha.Wilfred Kidao
Bebeto
Mwaikimba
Jimmy Mored
Gamshud Gamdust
MarehemuDamian Mrisho Kimti
Najua Watoto nimewaacha Kwenye flyover ya Tazara
Dah[emoji23],umenkumbusha straika langu la asenali,Kuna mechi moja ya kirafiki(pre season) alitupia goli nne peke yke tukasema yeess mwak huu tumempata mrithi wa Van parsie,ila Sasa[emoji23][emoji23]