Wachezaji bora wavaao legeza/kata K

Wachezaji bora wavaao legeza/kata K

Alisina

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
4,178
Reaction score
4,449
Kandanda ni burudani iliyo na Mambo mengi sana!

Kandanda ni kilevi kama vilevi vingine ni ngumu sana kua
acha kutazama kandanda kwa lugha ya mkato tutasema umesitisha au umepumuzika kutazama. Mwaka 2014 niliapa kutotazama kandanda kutokana na sababu zangu nilizoziona zinafaa....nadhiri hii nilikuwa na ivunja haswa mechi zile zenye msisimuko ulimwenguni zichezapo...Hakika Jasiri haachi asili.

Kuna wachezaji watukutu/wakorofi pia kuna wachezaji wenye staili zao za kipekee katika kushangilia mabao yao.

Sasa Leo nimekuletea wachezaji wavaao jezi kwa staili ya kushusha chini maarafu kama kata-k /Mlegezo barani Uropa.

1.NEMANJA MATIC (28)-CHELSEA.
kijana huyu huwa ananiacha hoi
Pale anapokuwa katika pilikapilik
a uwanjani Jezi inapopanda juu y
eye huishika nakuishusha mahala
Pake.
1492455859908.jpg

1492455892245.jpg


2.ARTURO VIDAL (29)-BAYERN MU
1492455937259.jpg

1492455985645.jpg


3.M. MANDZUKIC (30)-JUVENTUS.
1492456021495.jpg

1492456068843.jpg


4.MARCELO V. (28)-REAL MADRID.
1492456109389.jpg

1492456137945.jpg


5.M.BALLOTELL (27 umri )- NICE.
1492456165471.jpg

1492456193074.jpg


Unaweza kuongezea wachezaji zaidi unaowafahamu.
Michezo hujenga Undugu na urafiki Pia. Shukran!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mkuu kumbuka huna Raul Meireles na Ramires. Actually wote waliwahi kucheza Chelsea ila mvaa mlegezo ni huyu View attachment 497828
Sawa-sawa Mkuu!! Nakubaliana na hilo.

Nakama umewahi kucheza soka,binafsi nimecheza soka sana na naendelea kucheza...utakubaliana na mimi kwamba ramires MBrazil hata yeye huwa anapendelea kuvaa miligezo uwanjani.
 
Back
Top Bottom