Wachezaji bora wavaao legeza/kata K

Wachezaji bora wavaao legeza/kata K

Klose (Germany) hua anafanya maksudi kunadi kampuni za Boxer kama alivokua anafanya David Bekham (England)
1e49d6dfd8fb429b1a52566203188bcf.jpg

Huyu jamaa mwafrika sijampata jina ila kwa staili hii [emoji23] [emoji23] [emoji23]
b0ba913d7a207d1eaa65f75976bece60.jpg

Huyu Neymar (Brazil) na wenzake kama Ronaldo (Portugal) Rodrigez (Columbia) Nani (Portugal) na wengine wengine huvaa milegezo kabla ya shughuli kuanza. Mziki unapopulizwa kipenga unawaona kabisa wanarudisha bukta sehem husika
ce4a16e8455d078e9f93562c2bd713de.jpg
 
Safi sana!!

Kumbe milegezo wakati mwingine inaingiza mikwanja(Fedha).....

Huyo wa ghana atakuwa sio K.Asmaoh kweli..?
 
Uzi nimeupendea,
1.Kelvin Patrick Yondan "cotton"

2. Said Samir Ruhava "kitasa"

3.Kelvin Prince Boateng "Bishoo"

4.Mimi
 
Jiunge na group la whatsap la betting lenye members zaidi ya watu 130 upate mikeka ya uhakika na ushauri mzuri kuhusu mechi na company za betting. Kujiunga ni bure na ushauri na mikeka yote ni bure. Linki iyo hapo chini.<br /><br /><br /><br />Betting only
 
Back
Top Bottom