Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kinda wa Manchester united Daniel Gore, kazaliwa 2004 ila anapeleka moto balaa.
Garnacho ndio anaingia 20 years!
Je, Tanganyika wachezaji wanwaka wazi wanawake zao?[siyo wake].
Je, utamaduni wa wanawake wa wachezaji wa Tanganyika, kama inavyosemekana kuzungukana ndio inafanya waone aibu kuwaweka wazi?
Je, ni namna wanavaa madera na kutokujua kuoga ndio sababu ya kufichwa?