Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,165
- 16,791
kwanza naomba utengue kauli sijamfananisha Messi na mchezaji yeyote, pili hiko wanachosema wachambuzi ni mawazo yao siwezi kuwapinga wanafacts zao kusema hivyo na mimi pia nna facts zangu na mawazo yangu, tatu, hakuna mwaka Messi aliumia akakaa nje kwa muda mrefu zaidi ya miezi mitatu kama upo huo mwaka nitajie.Hahahaaa imebidi nicheke tu, yani messi umlinganishe na hao!!!, ebu kuwa muwazi basi kamanda, hao wote ulowataja sio kweli....alafu nataka uniambie mwaka upi messi alidrop? Maana kuna kipindi aliumia na akakaa nje miezi kibao, na alivyorudi alikiwasha kama kawaida yake....
hii ni miaka ambayo Messi alidrop nnaposema kudrop si kwamba hakuwa bora ila hakuwa bora kupita hao niliyowataja.
2010.....Sneijder alikuwa bora zaidi
2013.....Ribery alikuwa bora zaidi
2014.....Neuer alikuwa bora zaidi
2015.....Neymar alikuwa bora zaidi
2016.....Ronaldo alikuwa bora zaidi
2017... .Ronaldo alikuwa bora zaidi
2018.....Ronaldo alikuwa bora zaidi