MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Aishi Salum Manula
Kujiona anajua, Sifa Kumuharibu na kuamini hana Upinzani ndani ya Kikosi kunaanza Kumgharimu mpaka Kufungwa Magoli ya Kitoto, Kipuuzi na ya Kukosa tu Umakini wake.
Ajitathmini na ajirekebishe upesi.
Erasto Edward Nyoni
Kujiona Mkongwe, Kusifiwa mno na Kuvimba Kichwa ukichanganya kuwa ndiye Mshauri na Kiongozi wa Wachezaji ( japo siyo Kapteni ) katika Kikosi kunaanza Kumuharibu na anatuharibia hata Simba SC yetu.
KEROZENE nimeacha Kucheza Mpira wa Kimashindano kwa miaka 25 iliyopita ila ukinipa leo hii ile Penati aliyokosa jana huyu Erasto Nyoni nafunga.
Kapiga Penati ile Kidharau na Kifaza sana halafu alivyo Bwege amekosa hata haonyeshi Kujutia na anaona ni kawaida wakati ametukosesha Karamu zaidi ya Magoli ambayo yatatusaidia mbele ya Safari katika NBC Premier League yetu hii.