Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu ,huyu mzambia na yeye hakumchelewesha ,chama hana kosa lolote wapeni ahadi ambazo zinalipika. pamoja na malikimbizo ya mishahara ya miezi mitatu