Hawa ma Pro wanajielewa wapeni pesa zao .....anawakilisha walio wanyonge.....dawa ya deni kulipa...Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu ,huyu mzambia na yeye hakumchekewesha ,chama hana kosa lolote wapeni ahadi ambazo zinakiuka pamoja na malikimbizo ya mishahara ya miezi mitatu
apigwe mtu tu km vp...Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu ,huyu mzambia na yeye hakumchelewesha ,chama hana kosa lolote wapeni ahadi ambazo zinalipika. pamoja na malikimbizo ya mishahara ya miezi mitatu
Dah! hapa ndio mnazidi kutuchanganya aisee.Nachojua ni msimamo wa chama kuhusu posho na ahadi ambazo wachezaji waliahidiwa kabla ya mechi na wydad! Wachezaji hawajapewa posho yoyote ,chama aliamua kuufuata uongozi ili kudai haki ya posho ambazo waliahidiwa ndipo akaonekana kama mtovu wa nidhamu ,kiongozi mmoja alimtolea chama lugha chafu ,huyu mzambia na yeye hakumchelewesha ,chama hana kosa lolote wapeni ahadi ambazo zinalipika. pamoja na malikimbizo ya mishahara ya miezi mitatu
Nakwambia hii habari haina ushahidi wowote ule,Halafu siyo poa kuwadanganya watu wazima kama watoto.