Wachezaji Man United walifurahia kusikia Ronaldo ameomba kuondoka

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Baada ya Cristiano Ronaldo kuiambia klabu yake ya Manchester United kuwa anataka kuondoka klabuni hapo inadaiwa kuwa wachezaji wa timu hiyo walifurahia tamko hilo.

Sababu ya hali hiyo ni kuwa wachezaji wanaamini Ronaldo (37) amepoteza nguvu ya ushawishi kikosini na wanahisi amekuwa mzigo zaidi kuliko msaada kwao.

Zimesalia siku mbili kabla ya dirisha la usajili kufungwa na wakala wa mchezaji huyo, Jorge Mendes ameendelea kufanya mchakato wa kuhakikisha mchezaji wake anaondoka kikosini hapo.

0000000000000000000000

Report claims Man United players think Cristiano Ronaldo is a pain in the a*** and celebrated when he told the club he wanted to leave... because he's become a 'divisive' figure in the squad

Wantaway star Cristiano Ronaldo is reportedly viewed as a 'pain in the a***' by his Manchester United team-mates, who are said to have celebrated when they found out he wanted to leave the club.

The 37-year-old stated his desire to quit Old Trafford at the start of July, but he is yet to secure a move away with less than 72 hours of the transfer window remaining.

Ronaldo has started just one of United's four Premier League games so far this season and that was the humiliating 4-0 defeat at the hands of Brentford.

The report adds that he expects players like Harry Maguire and Marcus Rashford to perform like Rio Ferdinand and Wayne Rooney - stars during Ronaldo's first spell at Old Trafford - and is critical when they do not reach these heights.

Therefore, United's players are said to have been filled with 'joy' when it became clear that 'pain in the a***' Ronaldo wanted to leave.

The superstar's agent Jorge Mendes is busy trying to engineer a move for his client before the transfer window shuts, but clubs such as Chelsea, Atletico Madrid and Bayern Munich have all turned down the chance to sign him.

Erik ten Hag reiterated his desire to keep Ronaldo after United's 1-0 win over Southampton on Saturday, when the five-time Ballon d'Or winner came off the bench and played 22 minutes.

'We played with him,' Ten Hag said. 'So we want him to stay. That is what we want. I hope so.'

Source: Daily Mail
 
Ronaldo sasa ameshakuwa mstaafu, akalee wajukuu.. au anataka acheze world cup kwanza?
 
Lisemwalo lipo...
 
Ronaldo sasa ameshakuwa mstaafu, akalee wajukuu.. au anataka acheze world cup kwanza?

Tuongee kwa facts

Unaanzaje kusema CR7 amechoka ilhali msimu ulioisha miezi michache tu jamaa katupia magoli 18 pamoja na hat trick kadhaa ktk ligi na kuwa ktk orodha ya TATU bora ya wenye magoli mengi ktk ligi ngumu ya Epl

Man City pamoja na kuchukua ubingwa lakn top scorer wao ni De Bruyne ana magoli 16,

Tukubali tu CR7 ameenda timu ambayo imekuwa flop kuanzia eneo la kiungo mpaka mabeki ndio maana imekuwa ikiruhusu magoli ya kizembe na kupelekea timu kupoteza points kizembe

Laiti kama CR7 angekubaligi usajili wa kwenda Man City basi angeenda kuenjoy football ktk ufungaji na angetia nyavu kweli kweli,,, maana angekuwa amezungukwa na mafundi kweli kweli kina De Bruyne, Bernado Silva, Ikay, Foden, Rodri, Mahrez nk

Ronaldo bado ni mchezaji mzuri sana isipokuwa tu timu ya Man U bado haijakaa sawa
 
Jizee hilo limekazana tuuuu kuzuia nafasi za vijana, limekuwa kama mstaafu wa tz,
Bora tu liondoke
 
Back
Top Bottom