joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kenya bado wanacheza mpira wa miguu?. Huyu Morison yeye amepagawishwa na maisha ya Tanzania kwa ujumla, hataki tena kurudi kwao GhanaHeheheheee bado wanalinganisha ligi yao ya bingwa TZS milioni 40 na TPL bingwa milioni 600[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo huna macho kuona kwamba hapo wapo wawili?Huyu si mmoja tu inakuwaje unaandika "Wachezaji?"
Hahahaah morrison na mwinyi zahera hawataki kabisa Kuondoka Tz
hivi mpo namba ngapi kwenye FIFA rankingsKwani Kenya bado wanacheza mpira wa miguu?. Huyu Morison yeye amepagawishwa na maisha ya Tanzania kwa ujumla, hataki tena kurudi kwao Ghana
Tony254
Don YF
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani hao wanaipenda Tanzania kwasababu ya "football" au wameipendavTanzania Kama nchi kutokana na uzuri wa maisha?.Now this is what I call hypocrisy! Ghana of all the countries and you shouting about it?! Ghana is a footballing powerhouse in Africa, a country that has featured in WC several times and then when some low-profile players, probably rejects, claim they don't want to go home you make a fuss of it!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wako wengi tuu Amissi Tambwe obrey Chirwa, Hamisi Kiiza etcHahahaah morrison na mwinyi zahera hawataki kabisa Kuondoka Tz
Hii nchi ukiliona.gap ni tamu sana unapiga hela tu
Na wanawake wa hii nchi balaa wageni hawataki kurudi kwao kabisa[emoji2][emoji2][emoji1787]
Now this is what I call hypocrisy! Ghana of all the countries and you shouting about it?! Ghana is a footballing powerhouse in Africa, a country that has featured in WC several times and then when some low-profile players, probably rejects, claim they don't want to go home you make a fuss of it!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?Kwani hao wanaipenda Tanzania kwasababu ya "football" au wameipendavTanzania Kama nchi kutokana na uzuri wa maisha?.
By the way" Ligi kuu ya Tanzania ni Bora kuliko Ligi kuu ya Ghana, wachezaji Tanzania wanalipwa vizuri kuliko Ghana. Wanachotuzidi ni timu ya Taifa kwasababu wachezaji wao wote wanacheza nchi za nje
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
England pia wana ligi bora duniani, huna hoja kaa kimya.Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
England hawako vibaya hivo. Wanarank no. 5 kwa fifa ranking...nyinyi na ligi yenu "Bora" mnarank 132 na hampo hata top 30 in AfricaEngland pia wana ligi bora duniani, huna hoja kaa kimya.
Hahahaha, Sasa unapingana na CAF wanaoitaja ligi ya Tanzania kuwa mamba 10 Afrika nzima?.Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
Wachezaji wa Kenya na nchi zingine Afrika wanaomba kuja kusajiliwa Tanzania[emoji23]England hawako vibaya hivo. Wanarank no. 5 kwa fifa ranking...nyinyi na ligi yenu "Bora" mnarank 132 na hampo hata top 30 in Africa