Wachezaji Mashuhuri toka Ghana wagoma kuondoka Tanzania baada ya mikataba Yao kumalizika, waomba uraia

Heheheheee bado wanalinganisha ligi yao ya bingwa TZS milioni 40 na TPL bingwa milioni 600
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
 
Heheheheee bado wanalinganisha ligi yao ya bingwa TZS milioni 40 na TPL bingwa milioni 600[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani Kenya bado wanacheza mpira wa miguu?. Huyu Morison yeye amepagawishwa na maisha ya Tanzania kwa ujumla, hataki tena kurudi kwao Ghana
Tony254
Don YF
 
Hahahaah morrison na mwinyi zahera hawataki kabisa Kuondoka Tz

Hii nchi ukiliona.gap ni tamu sana unapiga hela tu

Na wanawake wa hii nchi balaa wageni hawataki kurudi kwao kabisa[emoji2][emoji2][emoji1787]
 
Now this is what I call hypocrisy! Ghana of all the countries and you shouting about it?! Ghana is a footballing powerhouse in Africa, a country that has featured in WC several times and then when some low-profile players, probably rejects, claim they don't want to go home you make a fuss of it!? 😂😂😂
 
Now this is what I call hypocrisy! Ghana of all the countries and you shouting about it?! Ghana is a footballing powerhouse in Africa, a country that has featured in WC several times and then when some low-profile players, probably rejects, claim they don't want to go home you make a fuss of it!? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani hao wanaipenda Tanzania kwasababu ya "football" au wameipendavTanzania Kama nchi kutokana na uzuri wa maisha?.

By the way" Ligi kuu ya Tanzania ni Bora kuliko Ligi kuu ya Ghana, wachezaji Tanzania wanalipwa vizuri kuliko Ghana. Wanachotuzidi ni timu ya Taifa kwasababu wachezaji wao wote wanacheza nchi za nje

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaah morrison na mwinyi zahera hawataki kabisa Kuondoka Tz

Hii nchi ukiliona.gap ni tamu sana unapiga hela tu

Na wanawake wa hii nchi balaa wageni hawataki kurudi kwao kabisa[emoji2][emoji2][emoji1787]
Wako wengi tuu Amissi Tambwe obrey Chirwa, Hamisi Kiiza etc
 
Now this is what I call hypocrisy! Ghana of all the countries and you shouting about it?! Ghana is a footballing powerhouse in Africa, a country that has featured in WC several times and then when some low-profile players, probably rejects, claim they don't want to go home you make a fuss of it!? [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao wanaipenda Tanzania kwasababu ya "football" au wameipendavTanzania Kama nchi kutokana na uzuri wa maisha?.

By the way" Ligi kuu ya Tanzania ni Bora kuliko Ligi kuu ya Ghana, wachezaji Tanzania wanalipwa vizuri kuliko Ghana. Wanachotuzidi ni timu ya Taifa kwasababu wachezaji wao wote wanacheza nchi za nje

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
 
Yaani Sijaelewa..

Yanga ndo Imekosa KBS Wa Kumsajili ndo ituletee huyo Bwana Morisoni ambaye Kule CAF Aliliabisha benchi ZIMA la Uongozi Yanga?
Kama Mnataka mumfix hlf mumfundishe adabu...twambieni tutawaelewa..!
 
Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
England pia wana ligi bora duniani, huna hoja kaa kimya.
 
Ligi kuu ya Tanzania ingekuwa bora ingereflect kwa performance ya timu yenu ya taifa coz I believe between 80%-90% of your national team comprises of your local league players. Huo ubora sasa ipo wapi wakati last time we meet we whooped your asses in Afcon?
Hahahaha, Sasa unapingana na CAF wanaoitaja ligi ya Tanzania kuwa mamba 10 Afrika nzima?.

Hivi Kati ya Uingereza na Brazili ipi ni ligi Bora zaidi?, Ipi yenye timu Bora ya Taifa Kati ya Uingereza na Brazil?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom