Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo.

Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana visu vikali mno,
 
Wacheza mpira wao wanapata urahisi wa videmu vyenye maduka sinza. Maana huko ndio wanapotekwa. Starehe za sinza naa kidimbwi. Big star musician huwezi mkuta kidimbwi anasaka mademu au anaitisha company kitambaa cheupe au small planet tabata.
Big star musician anapiga vya sinza ndani anatoka nje na watu wenye platform kubwa nje.
 
Morrison kila akikumbuka pisi za Dar anajikuta amerudi Tanzania,au anashia kuomba uraia!!
 
Back
Top Bottom