mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Yaani jamaa wako stejini wananengua,wengine wako viwanjani wanacheza tu mpira,hizo nguvu mgezitumia vitani M23 wangeshasalimu amri
Mwaka 1978 nilijitoleakumfurusha iddi amini kule uganda nikiwa na miaka 18 tu,nilijitolea kamamgambo tukapewa mafunzo ya ukuruta mimi na wenzangu.
Huko Ukraini pia chupuchupu niende kujitolea kupigana na Putin nilipungukiwa nauli kidogo tu.
Unamjua Che Guavala,alivipiga vita vingi sana kwa njia ya kujitolea