Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid.
Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
Wanadai kua nao kuna wachezaji wao watatu muhimu hawapo, men who cares?
Hao wachezaji watatu walikuwepo siku ya wananchi lakini hawakua na msaada wowote mbele ya testical
Kwa hiyo utopolo hata waje na backup kama hiyo bado haiwezi kua excuse kujenga imani iliyotoweka kwa mashabiki wao kua wana timu mbovu yenye propaganda zisizo na msingi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.