Wachezaji Polisi Tanzania wapata ajali, mmoja avunjika miguu

Wako mstari wa mbele kupiga watu faini kwa sababu ya makosa madogo madogo! Chakushangaza wenyewe wanatumia gari bovu!!
 
Mungu awajarie wapone haraka, kagera sugar punguzeni basi kale kababu kayanga kanaharibu Sana soka la kisasa tuloaanza kulitengeneza kutoka kwenye hizo imani. Sasa hivi Kila team inaanza kuzifatilia imani za huyo mzee
 
Hivi Beti,wewe ni mtu au roboti? Sijawahi ona reply yako humu zaidi kutoa habari tuuu!! Natamani siku niuone mwandiko wako[emoji41]
 
Pole sana Mkuu.

Poleni sana, kuvunjika miguu yote miwili ni changamoto kubwa. Binafsi napitia changamoto hiyo ya kuvunjika mguu mmoja wa kushoto, nipo hapa mwezi wa nne sasa kazi zikiwa zimesimama.
 
@Pep sio mchezo usigegede dah
 
Poleni sana, kuvunjika miguu yote miwili ni changamoto kubwa. Binafsi napitia changamoto hiyo ya kuvunjika mguu mmoja wa kushoto, nipo hapa mwezi wa nne sasa kazi zikiwa zimesimama.
Pole mkuu
 
Dah pole sana mkuu...
 
Poleni sana, kuvunjika miguu yote miwili ni changamoto kubwa. Binafsi napitia changamoto hiyo ya kuvunjika mguu mmoja wa kushoto, nipo hapa mwezi wa nne sasa kazi zikiwa zimesimama.
Pole sana mkuu.
 
Asante sana mkuu,ila hapo kwenye kugegeda pagumu sana kukaa kwa mda wote huo
 
Hao wangekufa wote kasoro hao wachezaji raia tu, siwapendi kabisa polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…