Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

nasikia Kelvin John anatakiwa na TP Mazembe?

Ni kweli na Jamaa ( TP Mazembe ) wako Jijini Dar es Salaam tokea jana Kuzungumza na Viongozi wa Vilabu na wanawataka Wachezaji Watatu Mohammed Hussein Tshabalala ( Zimbwe Jr ) wa Simba SC, Faisal Salum ( Fei Toto ) wa Yanga FC na huyo Dogo Kelvin John.
 
Mungu awasaidie
 
Wawalipe tu pesa zao wasitake kuwadhulumu.

Mimi naomba wasiwalipe kabisa ili Wachezaji wapandwe na Jazba kisha Wafungishe Makusudi ili tuondolewe mapema na wale tunaomchukia Kocha Amunike tujiandae Kumpopoa na Mawe pale JNIA kama akirudi na Timu.
 
Kazi ya ukocha ilitangazwa, uliomba? Isiwe ni mahaba niue kwa hao wachezaji!
 
Timu hii itanipa pesa sana ntaiua mechi zote vilaza kabisa inabidi watangulize uzaelendo kwanza kwasababu ni nchi sio club
Hakuna uzalendo kwenye kazi.
Mbona rais anachukua mshahara au wabunge ambao tulitegemea wawe wazalendo...

Kwenye maslahi yao wapewe aiseeh..
Maana siku msuva akija dukani kwako akasema anaomba mchele kisa ni mzalendo kutoka taifa stars nina uhakika hutampa..

Wapewe stahiki yao kama walivyoahidiwa
 
Ahahaha anatafuna feza za watanganyika
Rais wa TFF Wallace Karia wakati anaomba Kura alikuwa na Kg 47 nina uhakika kwa jinsi alivyo sasa na kwa Pesa anazopiga na Maslahi anayoyapata hapo ukimpima atakuwa na Kg 175.
 
Wapewe tu. Hiyo ni ajira kama zingine.
Hao ni mabalozi wetu katika ulimwengu wa soka
 
Hahaa situnasisitizwa UTAIFA KWANZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…