haaahaaAnamalizia Kumnyonyesha Mwanae Keegan Kwanza.
Uzalendo huku viongozi wanajilipavizuri, kula kulala pazuri, wanaziacha vizuri familia zao.Walipwe pesa zao....mpira ni ajira kama ajira zingine. Maslahi kwanza, mambo ya uzalendo yatafuata baadae!
Ushaona wapi kazi za ukocha zinatangazwa ? Hata mazwazwa wataomba ndiyo haya ya AmunikeKazi ya ukocha ilitangazwa, uliomba? Isiwe ni mahaba niue kwa hao wachezaji!
Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya TaifaUshaona wapi kazi za ukocha zinatangazwa ? Hata mazwazwa wataomba ndiyo haya ya Amunike
🤣🤣🤣!Wameanza visingizio wakifungwa wadai hatukulipwa posho
Aiseee unakosa uzalendo na nchi yako mpaka unaandika utafikiri unahara
Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya Taifa
Kwa hiyo kama hujui nafasi ya kocha wa timu ya Taifa hutangazwa usimwage uharo wako hapa!
Wasitutishe!!!!