Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

Cameroon arrive late for Cup of Nations due to pay dispute
By Reuters
9 hours agoUpdated 7 hours ago

Cameroon's squad arrived in Egypt for the Africa Cup of Nations late on Saturday after delaying their departure over a pay dispute, risking possible sanction.
 
Siku ile wakati wanaondoka kwenda Misri naibu waziri aliwahakikishia kuwa malalamiko yao yote watayashughulikia. Ni wazi kabisa wachezaji wameondoka wakiwa na vitu vingi havijakaa Sawa ikiwepo malipo. Motisha Hakuna tusitegemee timu kufanya vizuri. In fact maandalizi ya timu,kambi, Motisha hayakuwa mazuri ukilinganisha na hata nchi jirani
 
Enyi watu walipeni taifa stars stahiki zao,dola 75 ni ndogo ukilinganisha na wanalokwenda kulifanya ni La taifa kwa Ujumla yani Nchi ndio inangaliwa pale inaonyesha NINI na ina nini kwenye mpira wa miguu.Nasema hili kwa kipimo kimoja tu kuna watu wanaenda semina njee kwa mambo ambayo hayaleweki na hayana maslahi wala hayaleti sifa au faida ya moja kwa moja kwenye nchi yetu wanalipwa posho kwa siku zaidi ya Dola 75.Iweje kwa taifa stars?
kuweni serious wahusika hata kidogo basi, Walipeni vijana vizuri muwatie moyo na hata likitokea la bahati mbaya wakose sababu ya kujitetea.
Taifa stars naamini this time itafanya vizuri tusiwayumbishe tuwalipe vizuri.
 
Waliwaahidi millioni kumi kila mmoja mpaka leo hamna kitu.Jamani dola 75 kwa siku?Si bora warudi nyumbani wafurahi na familia zao.Hela zimeenda kwenye sitigilasi goji.Hii serikali kwa kubadili matumizi ya michango hawajambo.Viva Museveni
 
Enyi watu walipeni taifa stars stahiki zao,dola 75 ni ndogo ukilinganisha na wanalokwenda kulifanya ni La taifa kwa Ujumla yani Nchi ndio inangaliwa pale inaonyesha NINI na ina nini kwenye mpira wa miguu.Nasema hili kwa kipimo kimoja tu kuna watu wanaenda semina njee kwa mambo ambayo hayaleweki na hayana maslahi wala hayaleti sifa au faida ya moja kwa moja kwenye nchi yetu wanalipwa posho kwa siku zaidi ya Dola 75.Iweje kwa taifa stars?
kuweni serious wahusika hata kidogo basi, Walipeni vijana vizuri muwatie moyo na hata likitokea la bahati mbaya wakose sababu ya kujitetea.
Taifa stars naamini this time itafanya vizuri tusiwayumbishe tuwalipe vizuri.
 
Hivi hawa Taifa Stars walisha bangua korosho? Au wanafikiri tumesahau deni la ile 50m. Wataitapika!
 
Dola laki tano kutoka CAF alafu kambi inagharamiwa na Serengeti breweries. .wawape pesa zao. Msomali tutamwambia raisi wa JMT
 
Ushaona wapi kazi za ukocha zinatangazwa ? Hata mazwazwa wataomba ndiyo haya ya Amunike
Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya Taifa

Kwa hiyo kama hujui nafasi ya kocha wa timu ya Taifa hutangazwa usimwage uharo wako hapa!
 
Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya Taifa

Kwa hiyo kama hujui nafasi ya kocha wa timu ya Taifa hutangazwa usimwage uharo wako hapa!

Hiyo ni timu ya ccm fullstop. Senegal funga hao ccm.
 
Back
Top Bottom