Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya Taifa

Kwa hiyo kama hujui nafasi ya kocha wa timu ya Taifa hutangazwa usimwage uharo wako hapa!
Hiyo iko Tanganyika tu wewe boya ila huko duniani haipo hiyo
 

Kama unajua unjua tu ivyo ni visingizio tu. Wao wajitume kupigania nchi yao kwanza mambo mengine baadae
 
Hiyo hela huenda inatakiwa kujenga SGR kupitia maagizo kutoka juu.
 
Uumpe ali sonso laki 7..

Alafu ye anailetea nin taifa....
 
Hii kitu itakuja kusababisha watu waache kuchangia hizi timu,inakuwaje watu wanachangia timu yao alafu nyie Tff mnataka kuwadhulumu wachezaji,walipeni hela yao wachezaji wanajua kuwa timu ikishatolewa hawatapata hata Mia
 
Huu Ni Uchochezi Wa Wazi Wazi
Huyu Hana Uzalendo Kabisa
Watu Wa Mpira Ndiyo Kitenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…