Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

Wachezaji Taifa star wanadai posho zao

Pumbavu! Hii timu siyo ya club ni timu ya Taifa

Kwa hiyo kama hujui nafasi ya kocha wa timu ya Taifa hutangazwa usimwage uharo wako hapa!
Hiyo iko Tanganyika tu wewe boya ila huko duniani haipo hiyo
 
Siku ile wakati wanaondoka kwenda Misri naibu waziri aliwahakikishia kuwa malalamiko yao yote watayashughulikia. Ni wazi kabisa wachezaji wameondoka wakiwa na vitu vingi havijakaa Sawa ikiwepo malipo. Motisha Hakuna tusitegemee timu kufanya vizuri. In fact maandalizi ya timu,kambi, Motisha hayakuwa mazuri ukilinganisha na hata nchi jirani

Kama unajua unjua tu ivyo ni visingizio tu. Wao wajitume kupigania nchi yao kwanza mambo mengine baadae
 
Hii kitu itakuja kusababisha watu waache kuchangia hizi timu,inakuwaje watu wanachangia timu yao alafu nyie Tff mnataka kuwadhulumu wachezaji,walipeni hela yao wachezaji wanajua kuwa timu ikishatolewa hawatapata hata Mia
 
Huu Ni Uchochezi Wa Wazi Wazi
Huyu Hana Uzalendo Kabisa
Watu Wa Mpira Ndiyo Kitenge
 
Back
Top Bottom