mpira ni kazi inayompatia kipato mchezaji na hasa anapofanya vizur huongezewa mkataba na kulipwa mshahara mzuri pia wamiliki wa timu hawapati hasara ya kuwekeza kwenye soka lakin kwa hili LA simba kulazimisha Matokeo yageuzwe ni kudidimiza soka na kukatisha tamaa vilabu vilivyopanda mwaka huu wakiamini kuwa bingwa hupangwa kabla ya msimu kuanza siamin na sitaki kuamini kuwa timu ya kagera hawana rekod za kadi za njano za mchezaji wao,siamin km simba wanafanya hivi kwa kuamin kuwa wana haki,siamin km Mohamed fakh beki wa simba wa msimu uliopita hajui atendalo,siamin km tff hawana takwimu sahihi za kadi za njano,siamin km mchezo kati ya kagera na Lyon hauna taarifa yoyote ya kamisaa,km rekodi za jumanne masiment zipo hadi Leo ,taifa stars kucheza afcon 1981 rekod zipo hadi mfungaji wa goli anajulikana,simba kuwafunga zamaleki 2003 rekodi zipo ,yanga kucheza hatua ya makundi 2016 ,Julio kustafu soka Mbeya 2016 iweje mchezo wa miez 2 iliyopita taarifa zipotee ? acheni usanii bhana tff,bodi ya ligi ,na wahusika wote naona kazi imewashinda kumbukeni mnakatisha tamaa baadhi ya vilabu vyenye uchumi mdogo km ndanda,a lyon,majimaji,lipuli,njombe mji,na singida united wanaojikongoja sio haki hata kidogo mashabiki wa soka tunaumia sana kwa upuuz wa watu wachache kila siku tunaacha familia zetu huko misenye tunakuja kaitaba kushangilia timu yetu mara tunaambiwa kagera imefungwa 3 na simba wakati mechi imechezwa kweupe na kila mtu kaona sasa cjui na goli la mbaraka yusuf atapewa shiza kichuya