Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

Wachezaji wa African Lyon wadai Mohamed Fakhi hakupewa kadi ya njano

FB_IMG_1492507571949.jpg
 
Yani leo Simba imefikia hatuwa ya kulilia point ambazo ilishindwa kuzipigania uwanjani? Too sad.

Sasa inabidi club yenu ihamie kwenye kubet.
Hivi kudai haki kumbe pia ni kushindwa? Nilikuwa sijuwi
 
Nionavyo mimi kama Kagera walimchezesha Mohamed Fakhi huku akiwa na Kadi tatu za njano na kanuni zinakataza, adhabu waliyopewa Kagera ya kunyang'anywa pointi tatu ni halali kabisa, sheria ndivyo ilivyo inapofuatwa lazima upande mmoja uumie. Kama hakuwa na kadi tatu za njano basi Kagera wameonewa warudishiwe pointi zao..
kuhusu simba kupewa ushindi wa mezani, sioni kama ni kosa hasa kama kanuni za TFF zilivunjwa na Kagera.. Tukumbuke Serengeti Boys leo hii wanashiriki mashindano ya Afrika huko Gaboni kwa style ya ushindi wa mezani, sio kwa kupendelewa bali kwa sababu Congo Brazzaville walimchezesha mchezaji aliyekuwa na umri mkubwa kuliko kanuni zinavyotaka..
 
Hivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
Kwa taarifa yako hadi sasa kagera sugar tayari wamesharudishiwa point zao
 
Kwa hiyo wachezaji wa lyon ndio wanajua nani alipewa nani hakupewa nani asiyejua shafi kuwa shabiki wa yanga cha ajabu eti wanamuita mchezaji akiri kuwa alipewa au hakupewa sasa unadhani kwa akili yenu fakhi atasema nilipewa kadi? Malinzi na mwesigwa tunawajua haswaaa kuwa mashabiki kindaki kindaki wa yanga
 
mpira ni kazi inayompatia kipato mchezaji na hasa anapofanya vizur huongezewa mkataba na kulipwa mshahara mzuri pia wamiliki wa timu hawapati hasara ya kuwekeza kwenye soka lakin kwa hili LA simba kulazimisha Matokeo yageuzwe ni kudidimiza soka na kukatisha tamaa vilabu vilivyopanda mwaka huu wakiamini kuwa bingwa hupangwa kabla ya msimu kuanza siamin na sitaki kuamini kuwa timu ya kagera hawana rekod za kadi za njano za mchezaji wao,siamin km simba wanafanya hivi kwa kuamin kuwa wana haki,siamin km Mohamed fakh beki wa simba wa msimu uliopita hajui atendalo,siamin km tff hawana takwimu sahihi za kadi za njano,siamin km mchezo kati ya kagera na Lyon hauna taarifa yoyote ya kamisaa,km rekodi za jumanne masiment zipo hadi Leo ,taifa stars kucheza afcon 1981 rekod zipo hadi mfungaji wa goli anajulikana,simba kuwafunga zamaleki 2003 rekodi zipo ,yanga kucheza hatua ya makundi 2016 ,Julio kustafu soka Mbeya 2016 iweje mchezo wa miez 2 iliyopita taarifa zipotee ? acheni usanii bhana tff,bodi ya ligi ,na wahusika wote naona kazi imewashinda kumbukeni mnakatisha tamaa baadhi ya vilabu vyenye uchumi mdogo km ndanda,a lyon,majimaji,lipuli,njombe mji,na singida united wanaojikongoja sio haki hata kidogo mashabiki wa soka tunaumia sana kwa upuuz wa watu wachache kila siku tunaacha familia zetu huko misenye tunakuja kaitaba kushangilia timu yetu mara tunaambiwa kagera imefungwa 3 na simba wakati mechi imechezwa kweupe na kila mtu kaona sasa cjui na goli la mbaraka yusuf atapewa shiza kichuya
 
Mkadai na zile za toto
Hata mke asiyejali ndoa yake akashughulika na mambo ya shoga zake matokeo yake ni kuachwa...ndy kama PEREGE FC... ..kushindwa KUSHUGHULIKA na mechi zenu..mnahangaika na MNYAMA MKALI....matokeo yake 4 G LTE
 
Kwa hiyo wachezaji wa lyon ndio wanajua nani alipewa nani hakupewa nani asiyejua shafi kuwa shabiki wa yanga cha ajabu eti wanamuita mchezaji akiri kuwa alipewa au hakupewa sasa unadhani kwa akili yenu fakhi atasema nilipewa kadi? Malinzi na mwesigwa tunawajua haswaaa kuwa mashabiki kindaki kindaki wa yanga
4c85cd2dee06546611754d6b13540b34.jpg
 
Ngoja tukae kimya tukisubiri maamuzi ya Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi ya Wachezaji.
 
Hata mke asiyejali ndoa yake akashughulika na mambo ya shoga zake matokeo yake ni kuachwa...ndy kama PEREGE FC... ..kushindwa KUSHUGHULIKA na mechi zenu..mnahangaika na MNYAMA MKALI....matokeo yake 4 G LTE
Mmezoea vya dezodezo leo hii mnatapishwa point mlizo hongwa
 
Kama kuna mwenye matokeo ya YANGA HUKO algeria naomba mnijuze wakuu.....maana aibu yetu wote hii
 
Back
Top Bottom