WirelessBrain
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 980
- 1,350
Binadamu wa Tanzania ni wa ajabu haijawahi tokea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kudai haki kumbe pia ni kushindwa? Nilikuwa sijuwiYani leo Simba imefikia hatuwa ya kulilia point ambazo ilishindwa kuzipigania uwanjani? Too sad.
Sasa inabidi club yenu ihamie kwenye kubet.
Kwa taarifa yako hadi sasa kagera sugar tayari wamesharudishiwa point zaoHivi wanaodai hizo points ni kagera kweli au PEREGE FC?haiingii akilini...hao kagera wadai points wao wanataka UBINGWA?AU WANASHUKA DARAJA?yote KAMBARE FC hao....ndy maana mnakula 4 G sababu ya kufuatilia ya watu
Mkadai na zile za totoHivi kudai haki kumbe pia ni kushindwa? Nilikuwa sijuwi
Tunajuwa kama TFF wote ni 4G FC..mna kampeni muendelee kututia aibu MECHI ZA KIMATAIFA...haya na wapewe...wawe mabingwa...Kwa taarifa yako hadi sasa kagera sugar tayari wamesharudishiwa point zao
Hata mke asiyejali ndoa yake akashughulika na mambo ya shoga zake matokeo yake ni kuachwa...ndy kama PEREGE FC... ..kushindwa KUSHUGHULIKA na mechi zenu..mnahangaika na MNYAMA MKALI....matokeo yake 4 G LTEMkadai na zile za toto
Kwa hiyo wachezaji wa lyon ndio wanajua nani alipewa nani hakupewa nani asiyejua shafi kuwa shabiki wa yanga cha ajabu eti wanamuita mchezaji akiri kuwa alipewa au hakupewa sasa unadhani kwa akili yenu fakhi atasema nilipewa kadi? Malinzi na mwesigwa tunawajua haswaaa kuwa mashabiki kindaki kindaki wa yanga
Mmezoea vya dezodezo leo hii mnatapishwa point mlizo hongwaHata mke asiyejali ndoa yake akashughulika na mambo ya shoga zake matokeo yake ni kuachwa...ndy kama PEREGE FC... ..kushindwa KUSHUGHULIKA na mechi zenu..mnahangaika na MNYAMA MKALI....matokeo yake 4 G LTE
Kuna mwenye matokeo ya YANGA huko algeria..tafadhali..naona mnijuze wakuuMmezoea vya dezodezo leo hii mnatapishwa point mlizo hongwa
Kwa sasa tunaongelea vplKuna mwenye matokeo ya YANGA huko algeria..tafadhali..naona mnijuze wakuu
Sasa ila mimi sina matokeo..hebu nijuze mkuu...plzKwa sasa tunaongelea vpl
Sasa ila mimi sina matokeo..hebu nijuze mkuu...plz