Wachezaji wa Kaizer Chiefs waliokosa mechi ya kwanza na Simba Sc waungana na timu kuja Tanzania

maweeeeeeeeee 5G
 
Kama Approach ya Kocha wa simba ni ile ile atapigwa tena..Watamvizia akimbie kimbie bila Plan wampige...

KUFUNGWA GOLI 4 alishindwa kuwa na Game plan
Sijui huko mapumziko walienda kuzungumza nini?[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…