Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 245
- 457
Kaizer chief wana mipira ya kubutua sana....Ni dhahiri kwamba wale jamaa wakikutana na timu pinzani yenye ulinzi imara watasumbuka sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamati ya figisu hadi sasa nasikia ume-fail kwa asilimia 75 za fitna zenu za nje ya uwanja!Kaizer anapigwa tano na watakao watia gundu zaidi Kaizer ni nyinyi mashabiki wa Ndezi f.c,Yanga inagundu kushabikia Kaizer ni kuipa gundu Kaizer Chiefs.
Kwahiyo kesho wanaenda kukutana na timu yenye ulinzi mbovu naona watashinda tena.Kaizer chief wana mipira ya kubutua sana....Ni dhahiri kwamba wale jamaa wakikutana na timu pinzani yenye ulinzi imara watasumbuka sana.
Huyu ndiye anakupa jeuri kwaujinga huu?Kaizer anapigwa tano na watakao watia gundu zaidi Kaizer ni nyinyi mashabiki wa Ndezi f.c,Yanga inagundu kushabikia Kaizer ni kuipa gundu Kaizer Chiefs.
Kahata tayari kaharibu mambo wote walitakiwa watembee wameweka mikono nyuma.Nasisi tunavisit kwa Babu one time
View attachment 1793219
Tulia wewe Simba ni Simba tu,Simba sio Chura,Simba ndo mfalme,Simba ndo shujaa,Simba King of the jungle,Simba ndo kiongozi,Simba anatisha,Simba akiamua hashindwi.Kamati ya figisu hadi sasa nasikia ume-fail kwa asilimia 75 za fitna zenu za nje ya uwanja!
Mambo si gundu tatizo uwezo wenu mdogo maneno mengi haya hizo tano subiri ziwashukie wenyewe hapo hapo kwa Mkapa.