Wachezaji wa Kaizer Chiefs waliokosa mechi ya kwanza na Simba Sc waungana na timu kuja Tanzania

Kaizer anapigwa tano na watakao watia gundu zaidi Kaizer ni nyinyi mashabiki wa Ndezi f.c,Yanga inagundu kushabikia Kaizer ni kuipa gundu Kaizer Chiefs.
Kamati ya figisu hadi sasa nasikia ume-fail kwa asilimia 75 za fitna zenu za nje ya uwanja!

Mambo si gundu tatizo uwezo wenu mdogo maneno mengi haya hizo tano subiri ziwashukie wenyewe hapo hapo kwa Mkapa.
 
Kaizer chief wana mipira ya kubutua sana....Ni dhahiri kwamba wale jamaa wakikutana na timu pinzani yenye ulinzi imara watasumbuka sana.
Kwahiyo kesho wanaenda kukutana na timu yenye ulinzi mbovu naona watashinda tena.

Au nakosea?
 
Kaizer anapigwa tano na watakao watia gundu zaidi Kaizer ni nyinyi mashabiki wa Ndezi f.c,Yanga inagundu kushabikia Kaizer ni kuipa gundu Kaizer Chiefs.
Huyu ndiye anakupa jeuri kwaujinga huu?
Your browser is not able to display this video.
 
Kamati ya figisu hadi sasa nasikia ume-fail kwa asilimia 75 za fitna zenu za nje ya uwanja!

Mambo si gundu tatizo uwezo wenu mdogo maneno mengi haya hizo tano subiri ziwashukie wenyewe hapo hapo kwa Mkapa.
Tulia wewe Simba ni Simba tu,Simba sio Chura,Simba ndo mfalme,Simba ndo shujaa,Simba King of the jungle,Simba ndo kiongozi,Simba anatisha,Simba akiamua hashindwi.
Ni amazetu amazao.
Simba nguvu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…