Wachezaji wa kiafrika na suala la umri Afrika tunakosea wapi? Cheki hapa...

Wachezaji wa kiafrika na suala la umri Afrika tunakosea wapi? Cheki hapa...

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Nadhani labda sababu ya kutafuta maisha au labda ni kingine ili tucheze soka muda mrefu Sana sijui..

Week iliyopita kulikuwa na mashindano ya soka kwa vijana wa mashule Africa chini ya miaka 16..(u-16)..
kituko zaidi kilikuwa ni kwa wachezaji wa congo kwa miili yao nisiongee Sana
FB_IMG_16454509810537143.jpg

huyu janja ana miaka 16 mchezaji bora wa mashindano dogo atatoboa Sana huyu baadae. 👆👆

FB_IMG_16454801449200264.jpg

Huyu dogo pia ni kipa bora wa mashindano anatoka congo pia ni chini ya miaka 16 nadhani ana miaka 12..dogo huyu future yake iko wazi atakuja kucheza ulaya. 👆👆

Ukiachana na mashindano ya wadogo zetu hao juzi pia kuna hawa kaka zao madogo ambao ndio kwa sasa ni vijana kabisa yaani wamoto Sana... 👇👇
FB_IMG_16452061919171430.jpg

huyu dogo wa Cameroon hapa mwenye miaka 16 fundi Sana yaani kama umewahi kumuona lakini pia ana binti yake mwenye miaka 27..
nadhani ni jambo la kumpongeza dogo huyu ambaye Neymar ni kama kaka yake kisoka atajifunza vingi 👆👆

pia kuna huyu janja anacheza pale simba huyu pia atakuja kutoboa Sana maana umri unaruhusu kabisa yaani ukizingatia nafasi yake ni beki wa kati basi ana muda mrefu wa kucheza yeye ana miaka 26 pia.. 👇👇
FB_IMG_16414196626729009.jpg

pia kwa Wale mtakaohitaji picha yake full mumtambue maana kuna mawakala wengi humu Sana wanaweza kumtafutia team huyu dogo.. hii nyingine 👇👇
FB_IMG_16425244866662687.jpg


Ni wakati sasa wa mawakala kuwatafutia team madogo hawa maana wana vipaji Sana hasa huyu wa mwisho hapa...
 
Nilitaka kushangaa huu uzi uishe bila kumdiss Ochieng, haya ongeza na yule babu yenu mpiga freekick za hovyo Ntibazonkiza.
Huyu mbona umri wake ameukubali na sote tunajua ni mzee yeye mwenyewe anajiita godfather?
 
yule mbelgiji hakukosea kuwaita manyani, mambwa mnabweka bweka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom