GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mo aniwekee B2 tu nawaleta hao Wote.Nenda kawalete ww
B2 unaijua wewe umeshawahi kuiona wapi?πMo aniwekee B2 tu nawaleta hao Wote.
Loji 'ukiwekwa' nao.B2 unaijua wewe umeshawahi kuiona wapi?π
Niliowataja hapo new Wageni tupu ninaowaongelea na kutaja nchi zao au ni Wazawa unaowasema Wewe?Kwahiyo mkuu huna Imani na wazawa siyo
Botswana hakuna Wachezaji kuna Waeneza UKIMWI tupu tu. Simba SC ikisajili huko nitaidharau mno.Tumisang Orebonye anatokea Botswana akishushwa Yule Leo ..timu yeyote hapa nchini ...msiba utakuwa mkubwa Kwa wengine
ππππππ€Έπ€Έπ€ΈOngea vzr na king kibadeniππ
Popoma kila kitu anajua ππ dahππππππ€Έπ€Έπ€Έ
South Africa sahau koz Sheria zao haziruhusi mchezaji kucheza ligi za africa alitokea PSL,,tau p was expectional koz alitokea Brighton kwenda al alhy.1. Zambia
2. Congo DR
3. Ivory Coast
4. Ghana
5. Senegal
6. South Africa
7. Uganda
8. Cameroon
9. Zimbabwe
10. Mali
11. Sudan
12. Mozambique
Wasipotokea katika nchi nilizotaja hapa Simba SC isahau Mafanikio hata kwa Msimu ujao wa 2023 / 2024.
Idadi ya Wachezaji wa Kigeni wanaotakiwa na TFF ni Kumi na Mbili ( 12 ) na hapa GENTAMYCINE nimezitaja Nchi hizo hizo Kumi na Mbili ( 12 ) hivyo ukiwa una Akili Kubwa utajua nimemasnisha nini na nataka kipi kifanyike.
Na yule Chivavelo wa Malumo Gallants mbona tumeambiwa anakuja Yanga?South Africa sahau koz Sheria zao haziruhusi mchezaji kucheza ligi za africa alitokea PSL,,tau p was expectional koz alitokea Brighton kwenda al alhy.
Na yule Chivavelo wa Malumo Gallants mbona tumeambiwa anakuja Yanga?
Sababu ya kutoona Wasouth Africa kwenye ligi za nchi za Africa ni kwamba kwao kuna maslahi bora zaid
Mbwembwe tuu za simba na yanga lkn ukweli wanaujua ndugNa yule Chivavelo wa Malumo Gallants mbona tumeambiwa anakuja Yanga?
Sababu ya kutoona Wasouth Africa kwenye ligi za nchi za Africa ni kwamba kwao kuna maslahi bora zaidi.
Jamaa alitusumbua sana kule Algeria.Tumisang Orebonye anatokea Botswana akishushwa Yule Leo ..timu yeyote hapa nchini ...msiba utakuwa mkubwa Kwa wengine