Wachezaji wa Kikongo siyo waaminifu. Je, Baleke aliihujumu Simba?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu. Alionekana ni striker wa asili aliyezaliwa kufunga magoli.

Tulipokuwa tunamlinganisha na Fiston Mayele, wengine tulikiri kuwa Baleke alikosa uwezo wa kukokota mpira au kumkimbiza beki mmoja au wawili na kufunga kama alivyokuwa anafanya Mayele mara kadhaa. Msimu wake wa kwanza ulipoisha, Baleke alionekana kama aliyafanyia kazi mapungufu yake hayo, msimu wa pili alionekana akijaribu kukokota mipira au kupiga chenga mbili tatu ila sina kumbukumbu ya goli lolote alilofunga la namna hiyo.

Tuyaache hayo. Kilichobadilika kikubwa ni uwezo kupungua sana wa Baleke kutumia nafasi alizokuwa anapata tofauti na kipindi alipokuja. Baleke pia hakuonyesha kama jambo hilo lilikuwa linamuumiza. Mshambuliaji wa asili hawezi kukubaliana na nafasi zile alizokuwa anakosa. Baleke alipitia kipindi kirefu cha ukame hadi ikatushtua tukaona bora atupishe. Leo hii anahusishwa na kujiunga na Yanga. Hili linafikirisha sana.

Kina Juma Shaaban na Bangala walihusishwa na kuihujumu Yanga katika derby na walipoachwa kuna watu walitegemea Simba wamchukue walau Bangala kutibu tatizo sugu lililokuwa linaikabili timu ila hawakumchukua hata mmoja wao na mimi nilielewa kwa nini Simba ilisita kufanya hivyo maana ingethibitisha zile fununu za hujuma.

Kaondoka Inonga ambaye ni mmoja wa wachezaji ambao walichangia Simba kutofanya vizuri awamu ya pili ya msimu ulioisha. Inonga alibadilika mbele ya macho yetu na makosa yake yaliyoigharimu sana Simba hakuonekana kuyajutia.

Hao ndiyo wakongoman.
 
N
Wachezaji watalaumiwa sana ila Simba wote wanajua uongozi wa Simba ulikuwa unamigogoro ambayo ilipunguza utulivu ndani ya team
Hao wote uliowataja hawapo msimu ukianza itajulikana
Ndio ashangilie na wachezaji wa Yanga baada ya sisi kukandwa Tano...!
Wakati yeye ndio alikuwa mfungani tegemeo na alikuwa anapaisha mali makusudi.

Baada ya mechi Kapombe analia, Shabalala analia michozi tele yeye anashangilia na wachezaji wa Yanga.
Yanga Wana mbinu nyingi sana nje ya uwanja, na walianza naye mbali sana.
 
Dah hili tukio nilishalisahau. Ila Simba imepitia mengi, timu ilikuwa inajiendea tu kama haina mwenyewe. Hakuna kiongozi wa kukemea, hakuna wa kupigania maslahi ya timu, yani ipo ipo tu.
 
Na bado hii mbinu wanaendelea nayo. Hersi alishat1ngaza muda kuwa anadili na Chama na ni lazima amsajiri.
Mechi ya mwisho Inonga alijivunja mapema kabisa, wanawatumia wachezi wa Kongo kufanya yao.
Simba wanajifanya wazungu sana.
 
Wachezaji watalaumiwa sana ila Simba wote wanajua uongozi wa Simba ulikuwa unamigogoro ambayo ilipunguza utulivu ndani ya team
Hao wote uliowataja hawapo msimu ukianza itajulikana
Bado hiyo haiondoi ukweli wa hoja iliyopo sanasana inathibitisha nilichosema. Hii siyo 1990's kuwa mgogoro wa uongozi unaathiri moja kwa moja wachezaji, zama hizi ukiona hivyo ujue mchezaji anatumika na upande fulani wa huo mgogoro au adui wa nje amejipenyeza anafanya yake.
 
Na bado hii mbinu wanaendelea nayo. Hersi alishat1ngaza muda kuwa anadili na Chama na ni lazima amsajiri.
Mechi ya mwisho Inonga alijivunja mapema kabisa, wanawatumia wachezi wa Kongo kufanya yao.
Simba wanajifanya wazungu sana.
Yeah uzungu kama ulizidi kipimo hivi ila siyo uzungu tu, pia uhuni na ukosefu wa maadili wa baadhi ya watu ndani na nje ya Simba
 
Alaf niseme ukweli.
Yanga wanapambana sana nje na ndani ya uwanja.
Leo nimeona wachezaji wa Yanga wapo kwenye mchanga wa Bahari wanajifua kuweka sawa pumzi.
Simba wako kwenye Jim huko Misri wametakata na wanafanya mazoezi ya kibishoo sana tu.
Tukikutana na Yanga tutakata pumzi mapema tu na kuishia kufungwa.
Makocha wa Simba ni Zero kama walivyo washauri wa
MO
 
Bado hiyo haiondoi ukweli wa hoja iliyopo sanasana inathibitisha nilichosema. Hii siyo 1990's kuwa mgogoro wa uongozi unaathiri moja kwa moja wachezaji, zama hizi ukiona hivyo ujue mchezaji anatumika na upande fulani wa huo mgogoro au adui wa nje amejipenyeza anafanya yake.
Haya wameondoka jitahidini mchukue nafasi yenu ya pili
 
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu. Alionekana ni striker wa asili aliyezaliwa kufunga magoli.

Tulipokuwa tunamlinganisha na Fiston Mayele, wengine tulikiri kuwa Baleke alikosa uwezo wa kukokota mpira au kumkimbiza beki mmoja au wawili na kufunga kama alivyokuwa anafanya Mayele mara kadhaa. Msimu wake wa kwanza ulipoisha, Baleke alionekana kama aliyafanyia kazi mapungufu yake hayo, msimu wa pili alionekana akijaribu kukokota mipira au kupiga chenga mbili tatu ila sina kumbukumbu ya goli lolote alilofunga la namna hiyo.

Tuyaache hayo. Kilichobadilika kikubwa ni uwezo kupungua sana wa Baleke kutumia nafasi alizokuwa anapata tofauti na kipindi alipokuja. Baleke pia hakuonyesha kama jambo hilo lilikuwa linamuumiza. Mshambuliaji wa asili hawezi kukubaliana na nafasi zile alizokuwa anakosa. Baleke alipitia kipindi kirefu cha ukame hadi ikatushtua tukaona bora atupishe. Leo hii anahusishwa na kujiunga na Yanga. Hili linafikirisha sana.

Kina Juma Shaaban na Bangala walihusishwa na kuihujumu Yanga katika derby na walipoachwa kuna watu walitegemea Simba wamchukue walau Bangala kutibu tatizo sugu lililokuwa linaikabili timu ila hawakumchukua hata mmoja wao na mimi nilielewa kwa nini Simba ilisita kufanya hivyo maana ingethibitisha zile fununu za hujuma.

Kaondoka Inonga ambaye ni mmoja wa wachezaji ambao walichangia Simba kutofanya vizuri awamu ya pili ya msimu ulioisha. Inonga alibadilika mbele ya macho yetu na makosa yake yaliyoigharimu sana Simba hakuonekana kuyajutia.

Hao ndiyo wakongoman.
Upo sahihi ,Kwa Siasa za Simba na Yañga ,Wakongo watatumia sana fursa hii,ukizingatia na hali ya kukua Kwa Biashara ya Mpira hapa Nchini nna Wafanya Biashara wahuni na maharamia wameshaingi humo! Tutarajie machafuko zaidi...hii wataelewa Watoto wa Mjini pekee,tena waliosoma Cuba!
 
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu. Alionekana ni striker wa asili aliyezaliwa kufunga magoli.

Tulipokuwa tunamlinganisha na Fiston Mayele, wengine tulikiri kuwa Baleke alikosa uwezo wa kukokota mpira au kumkimbiza beki mmoja au wawili na kufunga kama alivyokuwa anafanya Mayele mara kadhaa. Msimu wake wa kwanza ulipoisha, Baleke alionekana kama aliyafanyia kazi mapungufu yake hayo, msimu wa pili alionekana akijaribu kukokota mipira au kupiga chenga mbili tatu ila sina kumbukumbu ya goli lolote alilofunga la namna hiyo.

Tuyaache hayo. Kilichobadilika kikubwa ni uwezo kupungua sana wa Baleke kutumia nafasi alizokuwa anapata tofauti na kipindi alipokuja. Baleke pia hakuonyesha kama jambo hilo lilikuwa linamuumiza. Mshambuliaji wa asili hawezi kukubaliana na nafasi zile alizokuwa anakosa. Baleke alipitia kipindi kirefu cha ukame hadi ikatushtua tukaona bora atupishe. Leo hii anahusishwa na kujiunga na Yanga. Hili linafikirisha sana.

Kina Juma Shaaban na Bangala walihusishwa na kuihujumu Yanga katika derby na walipoachwa kuna watu walitegemea Simba wamchukue walau Bangala kutibu tatizo sugu lililokuwa linaikabili timu ila hawakumchukua hata mmoja wao na mimi nilielewa kwa nini Simba ilisita kufanya hivyo maana ingethibitisha zile fununu za hujuma.

Kaondoka Inonga ambaye ni mmoja wa wachezaji ambao walichangia Simba kutofanya vizuri awamu ya pili ya msimu ulioisha. Inonga alibadilika mbele ya macho yetu na makosa yake yaliyoigharimu sana Simba hakuonekana kuyajutia.

Hao ndiyo wakongoman.
Huyo Baleke aliondoka Simba akiwa kinara wa magoli sasa vipi kumlaumu. Nadhani kwenye ligi aliyekuwa anaongoza alikuwa anamzidi goli Moja tu. Na hadi sasa wakiorodheshwa wafungaji bora wa Simba msimu uliopita yumo. Mnawatoa kafara baadhi ya wachezaji badala ya kutibu matatizo yenu. Simba ilikuwa na matatizo mengi kila mechi lazima iruhusu goli. Baleke huyo angekuwa beki, kiungo, kipa.
 
N
Ndio ashangilie na wachezaji wa Yanga baada ya sisi kukandwa Tano...!
Wakati yeye ndio alikuwa mfungani tegemeo na alikuwa anapaisha mali makusudi.

Baada ya mechi Kapombe analia, Shabalala analia michozi tele yeye anashangilia na wachezaji wa Yanga.
Yanga Wana mbinu nyingi sana nje ya uwanja, na walianza naye mbali sana.
Hata mechi ambayo Simba alishinda 2-0 utaona wakati Kibu akishangilia goli la pili kwa kuonesha ishara ya kuwaziba midomo mashabiki wa yanga,baleke alikuja kumzuia asifanye hivyo.
Katika mechi hiyo,baleke alikosa goli mbili za wazi kabisa.Tangu siku hiyo niliamini baleke si mwenzetu.
Yanga wamewatumia sana baadhi ya wachezaji wa Simba kupata ushindi.
Inonga,Chama,Baleke na wengine.

Ukweli yote haya ni sababu ya baadhi ya viongozi tu waliopo.Kama hawa wataendelea na ujinga wao ( kutumwa kuwatumikia wanasiasa hususan yule mstaafu) maduka mapya yatajitokeza tena wala hilo halitanishangaza.

Viongozi wa yanga wanafanya nao urafiki kwa siri,huku wakiwapa vipesa pesa,inakuja kutokea tu siku wakiombwa kucheza chini ya kiwango,wanakubali
 
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu. Alionekana ni striker wa asili aliyezaliwa kufunga magoli.

Tulipokuwa tunamlinganisha na Fiston Mayele, wengine tulikiri kuwa Baleke alikosa uwezo wa kukokota mpira au kumkimbiza beki mmoja au wawili na kufunga kama alivyokuwa anafanya Mayele mara kadhaa. Msimu wake wa kwanza ulipoisha, Baleke alionekana kama aliyafanyia kazi mapungufu yake hayo, msimu wa pili alionekana akijaribu kukokota mipira au kupiga chenga mbili tatu ila sina kumbukumbu ya goli lolote alilofunga la namna hiyo.

Tuyaache hayo. Kilichobadilika kikubwa ni uwezo kupungua sana wa Baleke kutumia nafasi alizokuwa anapata tofauti na kipindi alipokuja. Baleke pia hakuonyesha kama jambo hilo lilikuwa linamuumiza. Mshambuliaji wa asili hawezi kukubaliana na nafasi zile alizokuwa anakosa. Baleke alipitia kipindi kirefu cha ukame hadi ikatushtua tukaona bora atupishe. Leo hii anahusishwa na kujiunga na Yanga. Hili linafikirisha sana.

Kina Juma Shaaban na Bangala walihusishwa na kuihujumu Yanga katika derby na walipoachwa kuna watu walitegemea Simba wamchukue walau Bangala kutibu tatizo sugu lililokuwa linaikabili timu ila hawakumchukua hata mmoja wao na mimi nilielewa kwa nini Simba ilisita kufanya hivyo maana ingethibitisha zile fununu za hujuma.

Kaondoka Inonga ambaye ni mmoja wa wachezaji ambao walichangia Simba kutofanya vizuri awamu ya pili ya msimu ulioisha. Inonga alibadilika mbele ya macho yetu na makosa yake yaliyoigharimu sana Simba hakuonekana kuyajutia.

Hao ndiyo wakongoman.
Kuna muda huwa mpaka nafikiri hivi mashabiki wa mpira hapa bongo huwa akili zao zinahama kuendana na matukio???

Yaani mchezaji akifanya vizuri wataimba na kumsifu akikosea kidogo kitu ambacho ni kawaida kwa binadamu utasikia anahujumu, mara analipwa na hii nihasa ikija kwenye suala la timu mbili Simba na Yanga

Mtu kaja kwa mkopo, kafanya alichofanya mmeshindwa kumnunua akaenda alipoenda na siku zote hizo hamkuanzisha uzi iusema alikuwa kawahujumu

Leo hii kuja timu pinzani tayari mnaanza kuropoka, hivi mlikuwa wapi kutuaminisha haya?? Si mngesema kipindi kile???

Mashabiki wa kibongo tuache unafiki mchezaji ile ni kazi yake kama ilivyo nyingine, timu moja isipokutaka wengine watakusajili na hakuna kitu kama kuhongwa, sijui na nini japo haimaanishi hivyo vitu havipo kabisa

Ila nakerwa na kukurupuka kunakotokea baada ya jambo fulani kutokea ilhali mtu aliondoka kitambo tu
 
Huyo Baleke aliondoka Simba akiwa kinara wa magoli sasa vipi kumlaumu. Nadhani kwenye ligi aliyekuwa anaongoza alikuwa anamzidi goli Moja tu. Na hadi sasa wakiorodheshwa wafungaji bora wa Simba msimu uliopita yumo. Mnawatoa kafara baadhi ya wachezaji badala ya kutibu matatizo yenu. Simba ilikuwa na matatizo mengi kila mechi lazima iruhusu goli. Baleke huyo angekuwa beki, kiungo, kipa.
Kama Baleke alisaliyi basi alitusaliti kisayansi ,sio kama Inonga!
 
N
Ndio ashangilie na wachezaji wa Yanga baada ya sisi kukandwa Tano...!
Wakati yeye ndio alikuwa mfungani tegemeo na alikuwa anapaisha mali makusudi.

Baada ya mechi Kapombe analia, Shabalala analia michozi tele yeye anashangilia na wachezaji wa Yanga.
Yanga Wana mbinu nyingi sana nje ya uwanja, na walianza naye mbali sana.
Mkeo akushinde kumtia ma kumtia mimba ,umlaumu jirani! Kweli mbumbumbu
 
Nadhani tusimlaum sana ila tatizo la simba wakiweza kutibu vitu viwili tu mambo yataenda
1. Ushirikina baina ya wachezaji ( hili ni tatizo kubwa)...tushukuru walau boko na manula wameondoka ...wamebaki kapombe, zimbwe na kibu ...( hawa ni virus wasipozuiwa timu bado itafanya vibaya tu)
2. Kuongeza mazoez. inaonekana wachezaji wa simba mazoez ni madogo halafu timu ina mahitaji makubwa ya kufika mbali ( ndani ya miaka 3 mchezaji wa simba aliyekua kiwango walau ni kibu ..japo hana msaada na timu...lkn wachezaji wote viwango vilishuka sana ......anyway bora wangesajili specialist wa kucheki viwango vya wachezaji
 
Baleke huyu anaefurahi na kupiga picha na wachezaji wa yanga huku Mashabiki wakilia kwa uchungu baada ya timu yao kula kono la nyani .
IMG-20240711-WA0170.jpg
 
Baleke huyu anaefurahi na kupiga picha na wachezaji wa yanga huku Mashabiki wakilia kwa uchungu baada ya timu yao kula kono la nyani .View attachment 3041364
Mpira sio vita ni utani na furaha na ajira. Hao ni picha ya pamoja ya wachezaji wa Congo baada ya mechi. Ni kawaida sana ulimwenguni tukio hilo labda kama mnaishia kuangalia mechi za Simba na Yanga tu
 
Back
Top Bottom