Mpira sio vita ni utani na furaha na ajira. Hao ni picha ya pamoja ya wachezaji wa Congo baada ya mechi. Ni kawaida sana ulimwenguni tukio hilo labda kama mnaishia kuangalia mechi za Simba na Yanga tukama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira sio vita ni utani na furaha na ajira. Hao ni picha ya pamoja ya wachezaji wa Congo baada ya mechi. Ni kawaida sana ulimwenguni tukio hilo labda kama mnaishia kuangalia mechi za Simba na Yanga tukama
Yanga inafungwa goli 3 morisson anatolewa sub anapitiliza nje ya uwanja anaondoka,yondani,juma abdul,ngasa,jafar ile match ndio iliwaondoa Yanga ikaanza upya,kikubwa tumefurahi mmekula 5 mo akiwepoN
Ndio ashangilie na wachezaji wa Yanga baada ya sisi kukandwa Tano...!
Wakati yeye ndio alikuwa mfungani tegemeo na alikuwa anapaisha mali makusudi.
Baada ya mechi Kapombe analia, Shabalala analia michozi tele yeye anashangilia na wachezaji wa Yanga.
Yanga Wana mbinu nyingi sana nje ya uwanja, na walianza naye mbali sana.
Nimelia sana!Kati ya vitendo vya ovyo vilivyofanywa na mashabiki wa Simba msimu uliopita ni kishinikiza Baleke aachwe. Mfungaji kinara wa timu nusu msimu anaachwaje? Vitu vingine mkubali tu kwamba shinikizo lenu lisilozingatia utaalamu liliwacost.
Hivi Yanga ifungwe 4 kwa 1 na Simba.Mkeo akushinde kumtia ma kumtia mimba ,umlaumu jirani! Kweli mbumbumbu
Hao utopolo ndio washenzi kabisa,hakuna mchezaji wao atathubutu kufanya ujinga kama huo au atarogwa hadi aote busha la kilo mbiliHivi Yanga ifungwe 4 kwa 1 na Simba.
Halafu baada ya mechi Azizi Ki aungane na wachezaji wa Simba kushangilia kufungwa kwa Yanga.
Wewe kama Mwana Yanga uliyeumia na Matoleo utafikiria nini ?
Utaona ni jambo la kawaida tu.
Alishangilia au alitoa fair play tu kusalimiana na Raia wenzake wa KongoHivi Yanga ifungwe 4 kwa 1 na Simba.
Halafu baada ya mechi Azizi Ki aungane na wachezaji wa Simba kushangilia kufungwa kwa Yanga.
Wewe kama Mwana Yanga uliyeumia na Matoleo utafikiria nini ?
Utaona ni jambo la kawaida tu.
9Kati ya vitendo vya ovyo vilivyofanywa na mashabiki wa Simba msimu uliopita ni kishinikiza Baleke aachwe. Mfungaji kinara wa timu nusu msimu anaachwaje? Vitu vingine mkubali tu kwamba shinikizo lenu lisilozingatia utaalamu liliwacost.
Alishangilia kabisa,Alishangilia au alitoa fair play tu kusalimiana na Raia wenzake wa Kongo
Ile mechi kapombe na shabalala ndo walikuwa na uchungu mpaka kulia ....ila wote waliobakia walidhihirisha maduka yapo wazi....9
Alishangilia kabisa,
Yaani alishikana nao mikono na kuanza kurukaruka nao, akina Romalisa na wengine.
Kitendo kile angafanya mchezaji wa Yanga sijui ingekuwaje.
Yaani hadi nilishikwa na mshangao.
Naanza kuamini hata Yale magoli mawili ya wazi pasi ya Chama alikuwa anayakosa kwa makusudi.