Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
Constantine Kimanda wa Rwanda
Lucas Mushomba wa Zambia mwaka 1978
Mayaula Mayoni alikuwa mwanamuziki toka Congo ila alichezea Yanga ila ni RIP kwa sasa