Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,380
- 68,484
Kuhasibu fainali ni ya loosersAcha wakaze kumbe ndio wanawapa simba fitness ya final
Hongera kuingia fainali kule kisiwani kwa udi na uvumbaYaaah ni motisha tosha ...Ili kuinua soka letu
Na mm nitaongezea 10,000tsh
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wawafunge mabingwa wa Africa?Wachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2.
Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC.
Source: Nassib Mkomwa kupitia ukurasa wake wa X zamani twitter
Moto unawaka mkuu ....japo sio mwana Yanga.....ila nna uhakika Simba asingetoboaHongera kuingia fainali kule kisiwani kwa udi na uvumba
Kwa mtindo huu sisi Yanga tutaendelea kucheza Mapinduzi cup huku Simba akicheza mashindano ya CAF kila mwaka na kufika hatua za fainali.
Nadhani haujaelewa dhana nzima ya kufanya hivi. Hiyo pesa haitoki mpaka matokeo wanayoyataka yamepatikana. Simba na Yanga hazipotezi sana mechi. Hapa Yanga wanatafuta mechi moja tu Simba itoke sare au ifungwe ili wajitangazie ubingwa kwa hiyo watoa ahadi wanajua pesa itakayoweza kuwatoka haizidi hiyo milioni 100.Kwanza sitaki kuamini kama ni kweli naona hii ni propaganda tu. Lakini kama ni kweli basi kuna shida mahali. Hivi ukizihesabu hizi ahadi kama ni kweli na kama anayetoa ni mtu yule yule tunayeambiwa kila siku basi nafikiri anahitaji maombi. Ukizijumlisha hela zote tunazoambiwa ametoa kwenye timu pinzani zinazocheza na Simba tokea ligi imeanza basi angeweza kufanya yafuatayo:-
1. Kusajili washambuliaji wawili wakali sana ambao wangeisaidia sana timu yake iweze kushinda mechi zote za ligi bila kupata sare au kufungwa. Na hii ingesaidia timu yake kuziacha mbali sana timu nyingine kwenye msimamo wa ligi.
2. Hizo pesa angewapa benchi la ufundi na wachezaji wa timu yake kama motisha kwa kila mechi itakayoshinda nina hakika wachezaji wa timu yake wangefia uwanjani wakitafuta ushindi.
3. Kutenga kiasi kikubwa cha pesa cha kununua magoli kwenye timu yake na angeita zawadi hiyo goli la raisi wa timu.
4. Chenji inayobaki angewapelekea watoto yatima ili apate baraka kwa Mungu.
Ni mtizamo tu.
Sawa nasi ndiyo tunataka ila acheni kelele za GSM kuharibu ligi.Kwa mtindo huu sisi Yanga tutaendelea kucheza Mapinduzi cup huku Simba akicheza mashindano ya CAF kila mwaka na kufika hatua za fainali.
KiherehereWachezaji wa Kikosi cha Mashujaa FC wamewekewa kiasi cha shilingi millioni 100 kama wataifunga Simba SC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC ambao utachezwa Ijumaa Mei 2.
Wachezaji hao wameahidiwa milioni 100 kwa ushindi na milioni 50 kwa sare dhidi ya Simba SC.
Source: Nassib Mkomwa kupitia ukurasa wake wa X zamani twitter
Duuh wazee wa supu katika ubora wao.
PointAcha wakaze kumbe ndio wanawapa simba fitness ya final
😄😄😄😄Ahamie Simba awe na uhakika wa mlo