msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,285
- 2,969
Hatar sana wazee wa kila mtu ashinde mechi zakesiyo pichaduka ni kweli ilitokea kama sikosei mwaka 1999. Huyo mchezaji alikuwa anaitwa karume....... ubini nauficha maana ilikanushwa kwamba mwandishi hakuwa na taarifa sahihi bali alikusudia kumchafua
yanga mpira hakuna. Fitna na majungu, wagangamale ila wajue ubingwa unakwenda msimbazi. Wao malizie kwa kutembeza bakulitu.Mtani leo umeamka vibaya.. Ongelea bakuli mtaacha Lini ?
Muda huu mngetumia kutembeza bakuli,ingefaa zaidiHata yule serial assistant kocha wao muongeaji mno ndiyo michezo yao.
Mna bahati nyie bakuli la mtu mmoja. Sisi ni watu wengi.Muda huu mngetumia kutembeza bakuli,ingefaa zaidi
Mechi ya Kwanza Yanga alimchangia Simba na mkaziacha TFF maana hamna njaa?Njaa inaathiri uwezo wa kufikiri. Bakuli limebuma.Ule mchango alioutoa Simba umeanza kwisha.Inabidi ngonjera za Manji zirudi tena ili wachezaji wavumilie njaa.
Zahera nae keshaweka ultimatum bila bilioni 2.3 anarudi Congo.
Mavi lazima yaanze kugonga chupi.
Kwa hiyo Abromovic anavyotoa hela Chelsea inakuwa ni bakuli?Mna bahati nyie bakuli la mtu mmoja. Sisi ni watu wengi.
Ni bakuli tu. Hadi club ijiendeshe kwa mapato na matumizi yake sio hela ya mfukoni mwa mtu. Ni kisa cha FIFA kuanzisha financial fair play. Hasa baada ya ujio wa Man City na PSG.Kwa hiyo Abromovic anavyotoa hela Chelsea inakuwa ni bakuli?
Umeona sawa kabisa Mtani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Naona mmeshikwa pabaya Watani.Vyura bwana.
Kagere huyoo
Mtani kwani uzi unasemaje lakini? [emoji12][emoji12]
Thibitisha
Gazeti limeandikwa ata sitarajii kuanza shule ya msingi analileta leoAiseeeeeeeeeee.