Wachezaji wa Simba hii tabia kawafundisha nani?

Wachezaji wa Simba hii tabia kawafundisha nani?

Njaa inaathiri uwezo wa kufikiri. Bakuli limebuma.Ule mchango alioutoa Simba umeanza kwisha.Inabidi ngonjera za Manji zirudi tena ili wachezaji wavumilie njaa.
Zahera nae keshaweka ultimatum bila bilioni 2.3 anarudi Congo.
Mavi lazima yaanze kugonga chupi.
 
Mechi ya Kwanza Yanga alimchangia Simba na mkaziacha TFF maana hamna njaa?
 
Sibishani na mbwa bali huwa nazungumza na mwenye mbwa.
 
Kwa hiyo Abromovic anavyotoa hela Chelsea inakuwa ni bakuli?
Ni bakuli tu. Hadi club ijiendeshe kwa mapato na matumizi yake sio hela ya mfukoni mwa mtu. Ni kisa cha FIFA kuanzisha financial fair play. Hasa baada ya ujio wa Man City na PSG.
 
Back
Top Bottom