Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=)

Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC.

Nae Kiungo Khalid Aucho wa Singida Black Stars amefungiwa michezo mitano (5) na faini ya milioni moja (1,000,000/=), Khalid Aucho amefanya utovu wa nidhamu mchezo wao dhidi ya TRA UTD baada ya kumpiga kiwiko Adam Adam.
1765893736784.png

1765893759114.png

1765893778810.png
 
Sasa Yanga imepigwa faini kwa kigezo kipi! Shabiki anaruka ukuta mpaka analifikia hilo goli, walinzi wa uwanja walikuwa wapi? Na kwa nini asihukumiwe aliye ruka ukuta, na badala yake iadhibiwe Yanga? Na kuna uthibitisho gani kama ni shabiki wa Yanga?

Yanga ni bora wakate rufaa kupinga hiyo adhabu ya kulazimisha.
 
Huwa wanatafutq ku balance ili uonekane na Yanga kaadhibiwa.
Wachezaji wa Simba walisitahili adhabu, TFF wakaona bila Yanga kuguswa, Simba hataridhika
 
Sasa Yanga imepigwa faini kwa kigezo kipi! Shabiki anaruka ukuta mpaka analifikia hilo goli, walinzi wa uwanja walikuwa wapi? Na kwa nini asihukumiwe aliye ruka ukuta, na badala yake iadhibiwe Yanga? Na kuna uthibitisho gani kama ni shabiki wa Yanga?

Yanga ni bora wakate rufaa kupinga hiyo adhabu ya kulazimisha.
TFF wazee wa kubalance
 
Hakuna mtu ametoka. SAUT Mwanza, tena kwenye mikono ya Fr Kitima PhD akawa kilaza kama Popoma.
Popoma alisoma pale Amazon college Mbagala rangi tatu course ya Journalism and Cookery
Mkuu popoma kasoma vile vyuo vya ghorofa ya pili mitaa ya magomeni..
Course ni secretarial course
 
Simba hakuna viongozi tusubiri mchakato wa kuingiza wanachama wapya tuchague viongozi.
Sitetei utovu wa nidhamu wa wachezaji ila kwanini kunakuwa na double standard.
Diara alimpiga kiwiko mchezaji wa mtibwa ila hajapewa adhabu yoyote pia Himidi Mao akamfanyia Kante hivyohivyo lakini hakuna adhabu aliyopewa.
Feitoto msimu uliopita alimuumiza Che Malone hatukusikia kelele za wachambuzi Wala bodi ya ligi kutoa adhabu
 
Back
Top Bottom