enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Mkuu ulianza kushabikia mpira ukiwa na umri gani ety?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sioni kama kuuza wachezaji wawili ndio source ya yote haya. Picha na benchi la ufundi la kupigwa mawe tu. Kuna wachezaji kwa mfano Bocco hawastahili kuwepo kwenye 1st 11 ya Simba. Sijui anawapa nini.Kwa simba hii na ujinga waliofanya viongozi wa kuuza key players , madonda ya tumbo ni halali kwa wale ambao wanaamini simba sio mbovu.
Wengine kwa Mpira wenu Mbovu na Matokeo mabaya sasa tumeshakonda na tukiona Soka zuri, la Kitabuni, linalovutia la Yanga SC na Ushindi wao mfululizo ndiyo Hasira zinatupanda na Machungu kutuzidia Mioyoni na Rohoni.
Wachezaji wa Simba SC ukomo Wetu wa Kuwavumilia umeshafika Kikomo na leo Ole wenu mtoke Sare au mfungwe na Namungo FC Uwanja wa Mkapa ndiyo mtatujua Mashabiki wa Simba SC tukichoka na Upuuzi huwa tunakuwaje na mtajua kwanini Wimbo wa Taifa hauna Kolabo au kwanini Nyoka hana Ugoko.
Tayari nimeshaagiza TOYO tatu kutoka Mkuranga na Kibiti zinakuja na Lundo la Bakora / Fimbo zilizotengenezwa Kiustadi ili Kumuingia Mtu vizuri Mwilini aweze Kushika Adabu na Kumkumbusha juu ya Wajibu wake kwa Majukumu ambayo yanamfanya alipwe Mamilioni ya Pesa kama Mshahara wake kwa Mwezi.
Najua Mshauri wa Simba SC Crescentius Magori huwa upo sana hapa Jamiiforums na unapenda mno Kusoma Mada zetu Wadau wa Simba SC na najua hata Uzi huu utausoma hivyo ukishausoma tafadhali wafikishie Wachezaji hii Taarifa na hizi Bakora hazitoishia tu Kwao leo bali zitahamia pia Kwenu Viongozi na hasa hasa Mwenyekiti Mangungu, CEO Barbara na Mwenyekiti wa Bodi Salim Abdallah na Bakora zitakazobakia zitamalizika katika hicho Kitambi chako Kikubwa Magori.
Tena huyu Mangungu anatukera sana!
Ulipobeba ile Mimba yako ya Kwanza iliyochomoka na Ugumba kukupata ghafla hadi hii leo.Mkuu ulianza kushabikia mpira ukiwa na umri gani ety?
Kumbe umemgundua shida anko popoma hajui kubadilisha mfumo wa muandiko wakePopoma unatumia ID nyingi kama unalipwa vile