Wachezaji wa Simba SC leo mkitoka sare au mkifungwa na Namungo FC kwa Mkapa tafuteni vichochoro vya kukimbilia tumeshachoka kuwavumilia

Kwa simba hii na ujinga waliofanya viongozi wa kuuza key players , madonda ya tumbo ni halali kwa wale ambao wanaamini simba sio mbovu.
Sioni kama kuuza wachezaji wawili ndio source ya yote haya. Picha na benchi la ufundi la kupigwa mawe tu. Kuna wachezaji kwa mfano Bocco hawastahili kuwepo kwenye 1st 11 ya Simba. Sijui anawapa nini.
 
Huu ni ujinga kama ujinga mwingine wowote!

Watu kama wewe ni moja kati ya wapuuzi mnaokwamisha soka hapa nchini kwa ushabiki wa kishamba.

Nadhani wewe ni utopolo unatafuta wafuasi wapumbavu walioletwa na manara huku Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…