Hapo umeweka sana u-team. Itoshe tu kusema taifa sitaz yote ni mamburulaNdio maana nilisema timu ya Taifa inauliwa na wachezaji wa SSC kwa back pass
Players wa Yanga na Azam hawana huu ujinga
Uko katika kilele cha ujinga.Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.
Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.
Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.
Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.
Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.
Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.
Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.
Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga
Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi
Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !
Halafu wewe kiumbe una tatizo sugu la kutumia kulitumia vibaya neno kulala! Timu ikifungwa unasema imelalwa! Golikipa akifungwa unasema wamemlala!Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.
Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.
Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.
Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.
Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.
Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.
Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.
Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga
Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi
Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !
Team isukwe from scratch..tuweke malengo ya 2030Ikiwemo kuondoa players wa SSC
KULE MOROCCO WALIFUNGWA DAKIKA ZA MWISHO
Halafu wewe kiumbe una tatizo sugu la kutumia kulitumia vibaya neno kulala! Timu ikifungwa unasema imelalwa! Golikipa akifungwa unasema wamemlala!
Hivi wewe mwenzetu ni mtu wa wapi hata Kiswahili hujui? Kwa nini unalitumia neno mahali pasipostahili?
Zimbwe siku zote krosi zake hazina macho na pamoja na misuli kujaa miguuni, mashuti yake huwa myepesi kama ya mtoto mdogo.Mo hussein kazingua sana, kuna movement moja hv kaingia nayo ndani baada ya kupiga pasi ya V kwa mwenzake aliekua free yeye kaipeleka ndani kwenye msitu wa mabeki wa timu pinzani
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.
Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.
Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.
Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.
Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.
Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.
Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.
Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga
Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi
Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !
We kiazi,hukuona Samatta ndio kampa pasi Msuva akafunga goli? Au ndo unathibitisha msemo wa Manara kwamba Yanga wenye akili ni wawili tuKazi ya kipa ni nini, yeye alipaswq kuona pia kuna mchezaji yupo free
Nasema tena Samata hana anachofanya na kwakua root yake ni SSC bado anafanya back passes na kuharibu mipira
Hussein amezoea yupo SSC , mpira wa kwendq mbele anapeleka nyuma
Wachezaji wa SSC NI uozo wavivu hawajitumi
kuna minyoo kwenye ubongo wakoNdio maana nilisema timu ya Taifa inauliwa na wachezaji wa SSC kwa back pass
Players wa Yanga na Azam hawana huu ujinga
Kweli kabisa.Kazi ya kipa ni nini, yeye alipaswq kuona pia kuna mchezaji yupo free