Wachezaji wa SIMBA SC , mnashida gani?

Wachezaji wa SIMBA SC , mnashida gani?

Ndio maana nilisema timu ya Taifa inauliwa na wachezaji wa SSC kwa back pass

Players wa Yanga na Azam hawana huu ujinga
Hapo umeweka sana u-team. Itoshe tu kusema taifa sitaz yote ni mamburula
 
Inawezekana ila players wa SSC pia ni tatizo

Nimechukia sna manula anaruhusu goli dakika zile

Ni tatizo sana
 
Kwamba wachezaji wa utopolo ndio wakutufikisha nchi ya ahadi. We kweli kilaza.
 
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.

Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.

Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.

Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.

Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.

Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.

Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.

Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga

Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi

Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !
Uko katika kilele cha ujinga.
 
Halafu wewe kiumbe una tatizo sugu la kutumia kulitumia vibaya neno kulala! Timu ikifungwa unasema imelalwa! Golikipa akifungwa unasema wamemlala!

Hivi wewe mwenzetu ni mtu wa wapi hata Kiswahili hujui? Kwa nini unalitumia neno mahali pasipostahili?
 
Mim ni mtu wa duniani nilipotoka sipajua na ninapokwenda sipajua

Wewe je wa wapi
 
Mo hussein kazingua sana, kuna movement moja hv kaingia nayo ndani baada ya kupiga pasi ya V kwa mwenzake aliekua free yeye kaipeleka ndani kwenye msitu wa mabeki wa timu pinzani
 
Zimbwe siku zote krosi zake hazina macho na pamoja na misuli kujaa miguuni, mashuti yake huwa myepesi kama ya mtoto mdogo.

Kumjibu mleta mada, aliyeiroga Taifa Stars ndiye kairoga Simba. Tukimpata huyo mchawi tutakuwa tumeua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
Niseme ukweli sina imani na mchezaji yoyote wa SIMBA SC , they are too good for nothing.

Mtu kama Hussein anapenda sana kurudisha mpira nyuma, hana accuracy’s . Ni uchochoro.

Manula ni tatizo lingine, it was just a matter of time aruhusu goli, nadhan ndio kipa atakayeshika namba 1 kwa kufungwa.

Mpaka sasa ameshakula goli nne. DRC watamlala kama 3 hivi.

Hata ile kona nilijua ni goli, huwa haoni vema.

Samatta, ni aina nyingine ya kizazi cha SSC , mvivu, yupo slow , sio creative kama wenzie wanaocheza nje, anaharibu movement nyingi ambazo zinaweza kuzaa magoli.

Nadhan amepangwa kwa jina tu , Uingereza walistuka zamani sana kuwa jamaa alikuwa overated.

Shida kubwa walioharibu mpira ni wachezaji wa SSC. Mchezaji pekee wa SSC anaejielewa
ni mmoja tu ; kibu denga

Kama mmeshindwa kuifunga Zambia wa kiwa pungufu ; DRC ni ya moto hamuiwezi

Wachezaji wa SSC ni kichwa cha mwendazimu kama viongozi wao waliowasilisha mafanikio ya klabu kwa miaka 2 mfululizo, shame !

Yule Mwamnyeto huoni madudu yake
 
Kazi ya kipa ni nini, yeye alipaswq kuona pia kuna mchezaji yupo free

Nasema tena Samata hana anachofanya na kwakua root yake ni SSC bado anafanya back passes na kuharibu mipira

Hussein amezoea yupo SSC , mpira wa kwendq mbele anapeleka nyuma

Wachezaji wa SSC NI uozo wavivu hawajitumi
We kiazi,hukuona Samatta ndio kampa pasi Msuva akafunga goli? Au ndo unathibitisha msemo wa Manara kwamba Yanga wenye akili ni wawili tu
 
Kazi ya kipa ni nini, yeye alipaswq kuona pia kuna mchezaji yupo free

Nasema tena Samata hana anachofanya na kwakua root yake ni SSC bado anafanya back passes na kuharibu mipira

Hussein amezoea yupo SSC , mpira wa kwendq mbele anapeleka nyuma

Wachezaji wa SSC NI uozo wavivu hawajitumi
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom