Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

Wachezaji wa Simba wanatetema mazoezini - Masau bwire

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
 
Angekuwa humu JF, mtu kama huyu tungemuita Popoma. Maana hajielewi.
 
Kutetema alianza Kagere pale Kindoki yupo sub na Kabwili anapigwa goli la kichwa na MK14. Mnajisaulisha sana Utopolo
 
Back
Top Bottom