Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.