Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Kwani wewe umeelewaje labda?Kutetema alianza Kagere pale Kindoki yupo sub na Kabwili anapigwa goli la kichwa na MK14. Mnajisaulisha sana Utopolo
Kwani uongo hawakutetema?Angekuwa humu JF, mtu kama huyu tungemuita Popoma. Maana hajielewi.
mzee kagere anatetemeka hawezi kutetema yule kichwa kama tank la maji.Kutetema alianza Kagere pale Kindoki yupo sub na Kabwili anapigwa goli la kichwa na MK14. Mnajisaulisha sana Utopolo
Simba role model wao ni YangaOfisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano kwamba hata wachezaji wa simba sc camera zimewahi wanasa wanatetema.
Kuna mwenzako kafanywa vibaya kwenye zawadi za Oscar kwa utani kama wako. Eti Yanga deshi deshi Simba!!! Weeee acha hizo brooo!
I am rude buoyKuna mwenzako kafanywa vibaya kwenye zawadi za Oscar kwa utani kama wako. Eti Yanga deshi deshi Simba!!! Weeee acha hizo brooo!