Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

hili kundi limenifurahisha sana bado sijajua tukienda kucheza na Al ahly au sijui kwa kuwa mechi zinaanzia kwao hawana figisufigisu za kuwabambikia wachezaji tegemezi kuwa wana corona
Kwa hiyo wakikutwa na Corona waandikiwe hawana? Akili za kiCCM kuamini Tanzania ni kisiwa hakuna corona!!
 
Stress zako za maisha usimuingize kila mtu hapa ni jukwaa la michezo kuna jukwaa la ccm peleka upuuzi wako huku
 
hili kundi limenifurahisha sana bado sijajua tukienda kucheza na Al ahly au sijui kwa kuwa mechi zinaanzia kwao hawana figisufigisu za kuwabambikia wachezaji tegemezi kuwa wana corona

Al Ahly hawawezi kuwafanyia Simba figisu, kwanza walivyokuja namna walivyopokelewa bila sisi kuwafanyia figisu hawana kisasi cha kulipa nje ya uwanja, ni kisasi cha wao kulipiza lile goli moja walilofungwa tu!
Halafu Al Ahly wanamikataba waliyoisaini ya kushirikiana kwa pamoja, hawana uhasama na sidhani kama wanaweza kufanya uhasama wowote, utafifisha ushirikiano walionao kwenye mikataba waliyoisain!
 
Hawawezi fanya figisu kwa Simba, huyu wanaenda kumnyoosha uwanjani na biashara iishie hapo.
 
Back
Top Bottom