Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Baada ya dakika 90 kumalizika kwa mechi kati ya Simba na Ahly Tripol,Mashabiki walianza fujo kwa kurusha makopo na vitu vizito uwanjani huku wakiwalenga wachezaji wa Simba na marefaree na huku Aisha Manura akijeruhiwa na polisi na kuanza kupewa matibabu na madaktari wa timu ya Simba
Njoo inbox
 
Back
Top Bottom