Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

Wachezaji wa Simba washambuliwa na mashabiki huko Tripol, Aishi Manula ajeruhiwa

Yaani huyo Jamaa miaka ya 2008 alikuwaga timamu sana sijui hii I'd anaitumia mwanae ? Errors kibao kwenye maandishi yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amna mkuu hili tatizo limeanza baada ya kupiga chanjo ya korona,,, ubongo wake unabanguka kila kukicha
 
Hiii habari pia ipo DW Swahili so nadhan tutaendelea kuipata kupitia waliokua Libya pindi watakapofika
 
Ukiwa utopoloni kichwani una kuwa hivi
 

Attachments

  • downloadfile-4.jpg
    downloadfile-4.jpg
    216.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom