Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Kabisa mkuu,yani leo nimetukana matusi sana ukumbini nlipokua naangalia mpira
Nikawa hadi najiuliza"ina maana benchi la ufundi halioni hiyo hali ya wachezaji kutaka kucheza na jukwaa

Wale orlando kuna muda walikua wanaacha matobo kiasi kwamba kama akina Sakho wangekua hawana ubinafsi wangeshinda ata 3

Sent from my SAMSUNG-SM-N910A using JamiiForums mobile app
 
Sawa Mayele sio mzuri ; lakini mtafute striker
Bondeni hamuwezi kutoka kwa namna yoyote ile.Hata akishuka yesu ni lazima MTOKE
Unaropoka tu hapa ila ukiambiwa uweke milioni 10 kuwa orlando atashinda nina hakika hutaweka.
 
We ni mshamba na mjinga
Kwahiyo unataka Ahmed aende akawafundishe wachezaji teamwork au? Kila mtu anafanya kaai yake ndg ndo maana ya division of power
Kazi ya Ahmed ni hiyo anayofanya na sio unayotaka wwe
 
Sawa.Nimesoma.Ingawa unaongozwa na hisia kali za uchungu wa Simba SC kuwepo pale ilipo.Unatamani failures tu za Simba kuliko chochote kwa sasa.Mungu akurehemu.
Acha kumuhusisha Mungu kwa mambo ya kipuuzi kama manyau nyau meusi haya ya MAKOLO MAKOLO [emoji19]
 
Huyu ntu anaonekana kuwa na chukiness muombeeni kama inawezekana
 
Pole , Umeumia kwa sababu nimeongea Ukweli Mchungu. MTAFUNGWA straightforwardly bila hata kutumia nguvu. Ninasema tena timu haijaandaliwa kimashindano ya mtoano
Mim ni Simba, ila nakuunga mkono. Tuna kazi ya ziada kufanya kule south. Hatuchezi kitimu sana msimu huu
 
Hii ni akili ya mpenda mpira ila si ya MAKOLOKOLO kama pumba zingine zinavyoandika kimahaba hapa.
 
Na kumbuka hii ni Robo fainali. Siyo timu za kitoto zilizopo hatua hii. Goli Moja siyo kidogo.
Kama hatua ya awali tu uto alipigwa nje ndani , iweje hatua kama hii goli Moja huone halifai?
 
Wewe ndiye George Job?
 
Unaropoka tu hapa ila ukiambiwa uweke milioni 10 kuwa orlando atashinda nina hakika hutaweka.

Naweka hata milioni 100 , I swear . Nitafute inbox tu bet hata 5M, nipo serious. Kwa mpira ambao kila mtu anataka kushinda wewe ukaifunge timu kama orlando kule SA , ni kuota ndoto za mchana. Kikosi cha kina MIKISON MORISON NA CHAMA ndiyo kilikuwa kinatimu work na ndio maana Kaizer Chief ilikula goli Tatu taifa .

Usifanye mchezo wewe kumfunga mtu kwake kwa game za Africa ni ngumu. Hata Ahly hupata shida.

Hatuna Striker ya maana , Hatuna team work, hatuna uwezo wa away game then ukafunge Bondeni,

Tuache kusoften maneno... black and white kwa mpira huu SSC out na tujipange upya. Tutafungwa at the first opportunity yaani straightforward ndani ya kipindi cha kwanza na game kwa Orlando itakuwa ni rahisi kama kutoa unywele kwenye glass ya maziwa
 
Huyu jamaa ndiye yule mchambuzi George Job, inaonekana kauli yake ameisimamia kweli kweli, ikitokea ikawa kweli atavimba haswa.

Nitawaita tena hapa Right baada ya game kwisha : ninasema kwa hakika [emoji817] kuwa TUTAFUNGWA straightforward
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…