Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Wachezaji wa SSC Team-Work inawagharimu

Robo fainali zote mbili klabu BINGWA Afrika na Shirikisho ,Simba ndio kashinda na clean sheets , Nyumbani,gemu ya ugenini tutafia uwanjani
 
Sawa Mayele sio mzuri ; lakini mtafute striker

Bondeni hamuwezi kutoka kwa namna yoyote ile.Hata akishuka yesu ni lazima MTOKE
Mayele ni mshambuliaji mzuri kushinda mshambuliaji yoyote hapa Tanzania.

Simba kwa sasa haina mshambuliaji mwenye nguvu.
Kwakuwa Kagere na Mugalu Umri umewatupa.
 
Kwa hyo hyo yanga yenye team work na sprit imefikia hatua gani huo ushauri badala uwape yanga ili wafike mbali unakuja kuutoa kwa simba ww unadhani wale Orlando pirates ni geita gold hebu ombeni nao mechi ya kirafiki kabla hawajaondoka somalia tu waliwatoa jasho.
Kweli kabisa.
Uto waombe mechi ya kirafiki na Orlando.
 
Shomari Kapombe show me the way .......

Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.

Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.

Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.

Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.

Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.

Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.

Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.

Timu ina lack key factors nyingi sana;

1. Hakuna Team work.

2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.

Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .

3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa

4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.

5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.

Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
Umeandika kwa uchungu sana! Lakini pole, huu ushauri ungewapa Utopolo ambao nao walishiriki kuanzia CAF CL, sasa sijui na wao hawakuandaliwa kuingia raundi ya pili! Na sijui kwa nini Mayele hakupiga hat trick
 
Ndio akili za kimbumbumbu za kushikiwa na MO hizi,yaani ushinde kwako moja bila then ukitoka ukienda ugenini unakula hamsa halafu unafurahia.
Unadhani Luc Eymael alikosea kuwaita Manyani na mnabwekabweka tu kama mbwa?
 
Mayele ni mshambuliaji mzuri kushinda mshambuliaji yoyote hapa Tanzania. Simba kwa sasa haina mshambuliaji mwenye nguvu. Kwakuwa Kagere na Mugalu Umri umewatupa.
Jamani huyo Mayele alikuwapo tangu raundi ya awali
 
Yuko mchambuzi mmoja nilimsikia akisema kuwa kuzifanyia uchambuzi Simba na Yanga hawezi kwa kuwa kitakachofuatia ni matusi na utajuta kwa nini ulifanyia uchambuzi timu hizo hata mtu atatoa ushauri mzuri bado atachambwa hadi ashike adabu
 
Najua wewe na team yako ni wageni kwenye michuano hii ya kimataifa, kwa kuzingatia hilo ngoja nikusaidie kitu;
Unaposikia robo fainali ya ccl au ccc usidhani ni ndondo zenu mnazocheza na Ndanda au Lipuli, huko ni kazi kazi na team zimejipanga sana that's why ni ngumu kusikia mtu kashinda 3 bila so muhimu ni kushinda na kulinda ulichopata.
Tutaendelea kuwafunza kidogokidogo japo tunajua aibu kubwa mliyoliandalia taifa kwenye michuano ijayo.

Sasa nyie bondeni mtakula hizo tano, amini hivo , ndio utajua tatizo ni ugumu wa timu au tatizo ni hamjaandaliwa kwa mechi za kimataifa knock out
 
Sawa Mayele sio mzuri ; lakini mtafute striker

Bondeni hamuwezi kutoka kwa namna yoyote ile.Hata akishuka yesu ni lazima MTOKE
Watatolewa kilaini sana......
nikicheki gem ya jana wale jamaa hawajafanya mashambulizi yyte ya msingi.....
 
Shomari Kapombe show me the way .......

Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.

Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.

Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.

Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.

Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.

Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.

Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.

Timu ina lack key factors nyingi sana;

1. Hakuna Team work.

2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.

Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .

3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa

4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.

5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.

Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
mtu akiongea kiufundi anaambiwa ni utopolo...
shida ya uwezo wa kufikiri wa fans wa tz
 
Nakubaliana na wewe kwa yote ila kwa maneno uliyomwambia Ahmed uliendeshwa na mihemko na wivu tu wa timu yako kucheza viwanja vya Ushirika na Manungu tu.Tuachane na Simba sasa hata akifika mwisho ataingia tu Champions League nachokuomba Mtani Andaeni Timu punguzeni mdomo natamani Msimu ujao Kundi A Simba Kundi B Yanga ikiwezekana wote tucheze Robo fainali…
 
Shomari Kapombe show me the way .......

Juzi niliandika kuwa SSC haijaandaliwa game za knock out kama hizi. Ushindi wa leo means ni point 3 kwenye makundi, hii ndiyo inaibeba SSC kwenye makundi lakini kwenye hizi knock out ni kama imeshapoteza , huo ndiyo ukweli MCHUNGU.

Sitegemei SSC kama itavuka hii hatua lakini kwenye mpira lolote linaweza kutokea.

Nilimwambia Ahmed Ali nilipokutana nae pale Msimbazi kuwa mpira sio uhamasishaji na kusumbua watu mtaani, mpira ni investment na kuwa na team yenye muunganiko, Simba inakosa kitu muhimu kama TEAMWORK na MUUNGANIKO.

Ukiangalia Uchezaji wa SAKO au KIBU, ni uchezaji wa KIUBINAFSI zaidi ambao kimsingi game kama hizi hautakiwa. SAKO anataka kulazimisha kushinda yeye, huku pembeni yake kuna wachezaji walio kwenye position nzuri.... matokeo yake hakuna anayeshinda... hivyo hivyo kwa KIBU. Team work kwenye timu haipo.

Michuano ya KIMATAIFA ni team work na siyo INDIVIDUAL PERFORMANCE. Hii Philosophy inatakiwa kuwa kwenye vichwa vya wachezaji na kuwe na walimu wa kuwafundisha wachezaji maana ya team work, badala yake muda mwingi unatumika kusumbua watu MITAANI , na kusahau TATIZO la MSINGI la SSC.

Sasa ngoja muende SA mkaoneshwe nidhamu ya mpira na maana ya team work.

Nilisema SSC hamuwezi kupita na HAMTOPITA. Huo ndio UKWELI mchungu, mtajadili jadili hapa sijui suluhu kule sijui nini , lakini jibu ni moja, MTAFUNGWA straightforward bila hata ya kutumia nguvu.

Timu ina lack key factors nyingi sana;

1. Hakuna Team work.

2. Ubinafsi kwa wachezaji wa SSC, inaelekea hakuna Kiongoz wa SSC anayeliona hili ni tatizo . Kama KIBU na SAKO wasingekuwa wabinafsi , SSC ingeweza kuwa na goli hata tatu. Sako amekuwa mbinafsi snaa kwenye mechi hizi inaelekea akiwa na mpira focus ni yeye kushinda na sio timu ishinde, wachezaji kama hawa hawawezi kuwa msaada kwenye timu. Sako alitakiwa asiingie kipindi cha pili.

Enock , Morison ni watu sana. Enock anayo spirit ya team work, he is always working for the team: SAKO na KIBU are Always working for their little EGO .

3. Hakuna Spirit ya kucheza away game; nina hakika kule SA , ndani ya kipindi cha 1 simba atakuwa amekalia goli mbili huku lango lake likiandamwa

4 tatizo la nne SSC haina STRIKER sababishi kama vile Mayele ambae kwa nafasi wanazotengeneza SSC , Mayele angekuwa anaondoka na HAT TRICK mara zote.

5 . Tatizo lingine ni Pablo hana maamuz ya haraka, he is always complaining for nothing, mtu kama SAKO alitakiwa atoke kipindi cha kwanza, he is too much into his mind.

Haya sasa mrudi Kwenye Ligi kusikilizia maumivu ya point 10 ; Pablo nae ajiandae kufukuzwa manaa. Safari ya SSC imefika mwisho.
Sawa ng'ombe wa Mayele tumekusoma.
 
Megalodon,usihangaike kudili na watu wenye vichwa maji majibu yao watayapata jumapili ni siku chache sana kuanzia sasa na huhitaji kutumia nguvu nyingi maana hata wao wanajua na kocha wao anajua kuwa mechi ya jumapili ni ngumu mno kuliko hao mazombi wanavyofikiria
 
Back
Top Bottom